Hawa Chadema ni mbulula kabisaaa! Haiwezekani tukaendelea kuhubiri watu kwamba wasichangie maendeleo yao, yaani wanachi wazae tu, serikali isomeshe, iondoe karo, michango, daftari itoe bure, peni bure! After all what is serikali km si kila mwanachi? Huu ni uenda wazimu, dhana ya shule za umma...