Recent content by dany_Biggie

  1. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Kuna uhuru wa kuzungumza na kutoa mawazo yako lakini kuna habari ukizitoa zinaweza kuleta taharuki. Haswa iyo iliyo tolewa na huyo paka wa ugaibuni. Lakini serikali inapaswa kutuambia Rais wetu mpendwa yupo wapi.?
  2. dany_Biggie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

    Mkuu what do you mean.?
  3. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Je, gari yenye engine capacity chini ya cc 1000 inafaa kwa safari ndefu?

    Sema mkuu kiukweli ulikuwa unachoka sana
  4. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Je, gari yenye engine capacity chini ya cc 1000 inafaa kwa safari ndefu?

    Mkuu inafaa kabisa. Sema inabidi uijali utumie quality oil na service ontime maana vipuri vyake vinaaribika mapema. Sema kaa ukijua hizo Gari siyo za masafa marefu hata ukisafiri nayo mbali utagundua unachoka sana pamoja na ni automatic ukilinganisha na SUV mfano Prado.
  5. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Hivi hili suala la kukosa ajira linanitesa mimi tu au nina mkosi?

    Mkuu kila mtu ana story yake mpaka kupiga hatua moja kimaisha. Chamisingi usikate tamaa. Na usijifananishe na mtu mwingine. Furahia vitu ulivyo navyo kwa sasa mfano iyo Degree iyo smartphone vyote hivyo then see your self how lucky you're then utaanza taratibu kuwa na positive thoughts na...
  6. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Je, gari yenye engine capacity chini ya cc 1000 inafaa kwa safari ndefu?

    Mkuu kwa Passo zipo zenye engine chini ya CC 1000 alkadhalika Vitz. Vipo nyingine zenye engine ya piston tatu lakin hizi gari ni town Cruiser zimeundwa kwa wale watuamiji wa mijini mtuajia anae endesha gari chini ya km 70 wastani kwa siku. Lakini zinaweza pia kwenda mbali kama vipo na services...
  7. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Ipi ni tofauti iliyopo kati ya Toyota Crown Loyal Family na Toyota Crown Athlete?

    Anyway napenda Royal maana ina sex room kubwa sana ukiwa na mnyama wako hapo ndani ni kwichikwichi. Sema Athlete ina muonekano mzuri sana ngoja vyuma vikiachia nanunua zote.
  8. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Tujadili mshahara wa TGS D kwa watumishi wanaoishi kwenye majiji

    Huyo jamaa anaye pokea around 500K kama miujiza vile kila mwezi anaonga 50k sasa sijui anawezaje survive..?
  9. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mgao wa umeme Tanzania?

    Kwakwel tunakoma[emoji856] Maana leo Jumapili wamekata asubuhi saa moja[emoji51] Makanisa yote yana operate kwa majenereta.. Duuu.!! Watonee huruma[emoji26]
  10. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mgao wa umeme Tanzania?

    Halafu wamekata tena. Bila hata ya taarifa
  11. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mgao wa umeme Tanzania?

    Wewe unaishi wapi mkuu. Huwenda hauko Tanzania[emoji3]
  12. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mgao wa umeme Tanzania?

    Wadau nawasalimu wote. Naam naamini mko poa! Ni kama wiki mbili sasa tunapata changamoto ya umeme kukatika na ukikatika unakaa muda kweli mpaka kurudi. Nipo Arusha, Leo umeme umekatika asubuhi saa nne umerudi saa moja usiku. Swali hivi hawa Tanesco wana mgao unao endelea? Kama yupo mdau...
  13. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Ni hatua gani za kufuata ili nipokee mzigo (gift parcels) kutoka nje ya nchi?

    Mkuu upo hatarini kutapeliwa. Angalia usije ukaambiwa utume pesa ndiyo utumiwe. Mkuu kaa jonjo. Kwa mimi ninavyo fahamu kama ni vitu vya kawaida akuna garama za ziada za kulipia isopo kuwepo karama za utumaji tuu ndyo zitakazo lipwa. Pia wewe unaweza ukamwambia akutumie uje ulipe hapa hapa...
  14. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya utapeli

    Jamani, haswaa wadada mjihadhari na mbinu mpya inayo tumiwa na matapeli mtandaoni ngoja nikupe hichi kisa cha ya huyu dada kilicho mkuta hivi leo. Dada mmoja alikuwa anachati na njemba flani kwenye mtandao wa Facebook wakaanza kudate mtandaoni kisha wakanogewa na kutaka kuonana. Wakakubaliana...
  15. dany_Biggie

    JamiiForums Tanzania Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

    Jamaa awa wa Instagram ni matepeli hivyo hivyo na mimi nilitapeliwa 270K TZS nilikuwa nataka kununua laptop wakaniambia nitume pesa nusu kwanza nikatuma laki mbili na nusu. Nilivyo tuma wakaniambia awawezi kutuma uwo mzigo kwa agent wao eti kwasababu ya corona wana avoid social distancing...
Back
Top Bottom