Je, kuna mgao wa umeme Tanzania?

Je, kuna mgao wa umeme Tanzania?

Waongo tu hao hawana lolote na mods wameuacha uzi wa kilofa kama huu uendelee kuwepo dadeq zao.

Umeme sio shida kabisa, simpendi Magu na lichama lake ila kwenye hili hawa waongo wa JF wamuache
Wewe unaishi wapi mkuu. Huwenda hauko Tanzania[emoji3]
 
Toka asubuhi saa 4 hakuna umeme hadi sasa hivi saa saa tatu za usiku hakuna umeme. Kama kuna mgao si watutangazie tu.
 
Huu mgao serious sema hawawezi kutangaza watamkwaza ngosha mzee wa kujimwambafai
 
Acha upotoshaji, eneo ninaloishi toka January 1 mwaka huu umeme umekatika mara moja tu! Na tena sababu ilikuwa mvua kubwa iliyoambatana na upepo.
Naambiwa Arusha na Moshi umeme umekuwa tatizo sugu, kila siku unakatika kwa masaa kadhaa, wewe uko wapi pasipokatika umeme?
 
Waongo tu hao hawana lolote na mods wameuacha uzi wa kilofa kama huu uendelee kuwepo dadeq zao.

Umeme sio shida kabisa, simpendi Magu na lichama lake ila kwenye hili hawa waongo wa JF wamuache
Hata hapa nilipo sasa hivi hakuna umeme,umekatika toka asubuhi,ukarudi saa moja,kisha ukakatika tena baada ya lisaa limoja,hadi sasa ni giza
 
Naambiwa arusha na moshi umeme umekuwa tatizo sugu,kila siku unakatika kwa masaa kadhaa,wewe uko wapi pasipokatika umeme?
Dodoma umeme ni haukatiki kabisa.
Uliza na watu wa Iringa ni lini toka January 1 wameona umeme umekata ikizidi mara tatu njoo uniambie
 
Hata hapa nilipo sasa hivi hakuna umeme,umekatika toka asubuhi,ukarudi saa moja,kisha ukakatika tena baada ya lisaa limoja,hadi sasa ni giza
Buda nakuoneeni huruma sana hama huko chap aisee.

Huku ukikata ni umeishiwa LUKU kwako.

Kwa mkazi yeyote wa Dodoma na Iringa aje aseme lolote.
 
Wadau nawasalimu wote. Naam naamini mko poa!

Ni kama wiki mbili sasa tunapata changamoto ya umeme kukatika na ukikatika unakaa muda kwel mpaka kurudi.

Nipo Arusha, Leo umeme umekatika asubuhi saa nne umerudi saa moja usiku. Swali hivi hawa Tanesco wana mgao unao endelea? Kama yupo mdau anaejua tafadhali atujuze maana pia nilizungumza na mdau aliyeko Kahama, Shinyanga nao pia wanapata changamoto ya umeme kukatika siku nzima na pengine ni mara kwa mara.

Ebu kama kuna mdau anaye weza kutujuza au kuwavuta Tanesco hapa atusaidie.
Moro ni zaidi,,kuna maeneo unakaa zaidi ya 12hrs
 
Kesho ni zamu ya Mbeya,, laini ya rufaa umeme hautokuwepo
 
hawa wajinga leo wamekata mara tatu
 
Back
Top Bottom