Je, kuna mgao wa umeme Tanzania?

dany_Biggie

Member
Aug 21, 2013
55
124
Wadau nawasalimu wote. Naam naamini mko poa!

Ni kama wiki mbili sasa tunapata changamoto ya umeme kukatika na ukikatika unakaa muda kweli mpaka kurudi.

Nipo Arusha, Leo umeme umekatika asubuhi saa nne umerudi saa moja usiku. Swali hivi hawa Tanesco wana mgao unao endelea? Kama yupo mdau anaejua tafadhali atujuze maana pia nilizungumza na mdau aliyeko Kahama, Shinyanga nao pia wanapata changamoto ya umeme kukatika siku nzima na pengine ni mara kwa mara.

Ebu kama kuna mdau anaye weza kutujuza au kuwavuta Tanesco hapa atusaidie.
 
GRID ya taifa imezidiwa nguvu ni MGAO tusione aibu kuwataarifu waTANZANIA na ikiwezekana washirikishwe ratiba ya ukatikaji UMEME/MGAO ili wapunguze HASARA.
Acha upotoshaji, eneo ninaloishi toka January 1 mwaka huu umeme umekatika mara moja tu! Na tena sababu ilikuwa mvua kubwa iliyoambatana na upepo.
 
Wadau nawasalimu wote... Naam naamini mko poa!

Ni kama wiki mbili sasa tunapata changamoto ya umeme kukatika na ukikatika unakaa muda kwel mpaka kurudi.

Nipo Arusha, Leo umeme umekatika asubuhi saa nne umerudi saa moja usiku. Swali hivi hawa Tanesco wana mgao unao endelea? Kama yupo mdau anaejua tafadhali atujuze maana pia nilizungumza na mdau aliyeko Kahama, Shinyanga nao pia wanapata changamoto ya umeme kukatika siku nzima na pengine ni mara kwa mara.

Ebu kama kuna mdau anaye weza kutujuza au kuwavuta Tanesco hapa atusaidie...
Moshi umerudi saa 23:20 iv
 
Kilimanjaro na tabora baki shida
 
Inawezekana kuna matengenezo yanafanyika mahali fulani kutokana na hitilafu. Ila kwa bahati mbaya usikute taarifa tu hazijawafikia. Poleni.
Matengenezo yanafanyika usiku tu? Yaani kila siku saa 1 jioni matengenezo yanaanza yanakamilika saa 4 usiku? Kila siku?
 
Back
Top Bottom