Recent content by Dannyfoxy

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukrani sana
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwema wakuu, Kuna mdau ame weka qualification ya advanced diploma kwa makosa huku yeye ana diploma, hivyo hawezi kuomba kazi za diploma lakini pia hawezi kuomba kazi za advanced diploma maana cheti hakimruhusu. Hii issue inatatuliwa vipi Ili qualification yake isome diploma maana huwezi edit...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tarehe sio issue kiongozi, placement nyingi za PSRS zinaanzia wiki tatu baada ya oral. Hapo kila mtu na bahati yake, wengine watapata placement baada ya wiki hizo tatu, wengine mwezi mmoja, miezi miwili na wengine mpaka mwaka au mwaka na zaidi. Uvumilivu ndio kila kitu, kama ipo ipo tu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    watatoa Leo au kesho. Kuna watu Leo wameona placement tayari kwenye account zao
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Miezi miwili michache sana.kuna watu since last year mwezi wa 9 mtaalam
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    App sasa hv Ina changamoto, hata baadhi ya new applications(received )haioneshi kabisa. Cha muhimu jiamini, kama web inaonesha selected for oral kuwa mvumilivu, incase utapata placement itaonekana hapo.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Komaa na web, app achana nayo.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwenye web inafunguka??
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndio mtaalam, kufaulu written kwa marks za juu sio guarantee ya kupata placement. Marks za written zinaishia kwenye hio hatua ya awali(mchujo). Unaweza pata 98 written afu oral ukaboronga imekula kwako hiyo, afu mwenye 50 written oral akafanya vzr analamba asali. Ila kwa wale wenye practical...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    written ni mtihani wa mchujo tu,lengo ni kupunguza idadi ya wasailiwa na Haina weight yoyote kwenye matokeo ya jumla. Siku unayomaliza written na ukawa selected for oral unaanza upya kabisa.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sio lazima uingie kwenye account kila muda, Huko ni kupoteza muda. Unaweza ukaingia twice a day, unacheki asubuhi na jioni inatosha kabisa. Muda mwingine focus na mambo Yako mengine.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa mfumo wa sasa hivi, account Yako ya portal ndio kila kitu.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Uchumi
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndio mtaalam, placement zote zinaanzia kwenye account, barua inakuwa uploaded kwanza. Mkeka ndio unafuata...either siku hiyo hiyo au kesho yake. Japo ilitokea siku moja kwa baadhi ya watu placement kwenye account ilifanyika ijumaa na pdf ikatoka jumanne ya wiki iliyofuata
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndio leo
Back
Top Bottom