Recent content by Danny green

  1. D

    Ninakwenda mafunzo ya JKT...

    Tatizo ni wewe uliyekuwa na upunguani na akili za visasi. Ushasikia kuna nchi ambayo haipeleki vijana wake mafunzoni. Miaka yote JKT ipo na inatoa vijana imara. Hiyo hoja yako haina mashiko yoyote. Huwezi kwenda au kumpeleka kijana huko basi mtafutie kazi rahisi ya kukuna nazi au akajiunge na...
  2. D

    Kwanini Ikulu inaendelea kuudanganya ulimwengu?

    Post yako umeiweka kisiasa zaidi. Unaposema ikulu imedanganya unamaanisha ikulu ipi ikulu ya magogoni au ikulu ya zanzibar. Sherehe za mapinduzi muhusika ni raisi wa zanzibar. Kumbuka Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na zanzibar, Na mapinduzi yalifanyika kabla ya muungano hivyo...
  3. D

    LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    Unaonesha ni jinsi gani usivyo mstaarab na uvumilivu ktk masuala ambayo yanahitaji kufikiri zaidi ya kuropoka. Maneno niliyotumia ni misemo tuu ya kimichezo hasa unapozungumzia simba na yanga na inahitaji akili ya ziada kutambua hilo. Azam tv imewekwa kama kionjo tuu, wenye akili wameelewa...
  4. D

    Kwanini Ikulu inaendelea kuudanganya ulimwengu?

    Yericko nyerere nimeamini sasa siasa zimekufumba macho umekuwa kipofu asiyetarajia kuona tena. Kila atakachosema raisi kikwete basi wewe kwako ni hoja. Historia ya nchi husika inaandikwa na wenye nchi wenyewe. Wenyewe wazanzibari wanasema karume ndiye aliyefanya mapinduzi, unataka kubishana...
  5. D

    Mwekezaji morogoro abomoa nyumba za wananchi kama movie ya kihindi

    Wakadhi, uzuni, balaha. Proof reading kwa wengine ni mtihani au hakuna button ya ku edit post. Ni mtizamo tu
  6. D

    Orodha ya marais 10 wavivu afrika

    Hizi siasa hizi. Uvivu wa rais kisa kakubali waziri mkuu ajiuzulu? Imefika wakati sasa serikali iweke mipaka ktk matumizi ya jina la mh. Rais.
  7. D

    Nyuma ya pazia ya Operesheni Tokomeza

    Uzalendo hauuzwi kokote. Usiamini kila unachoambiwa kuwa na utamaduni wa kuangalia pande zote kisha toa hukumu. Watu kama nyinyi hamuhitajiki kabisa Tanzania. Unakata tamaa tena unaona bora uwe chizi kwa issue za kusimuliwa ur so pathetic. Hamia kenya basi kwenye ugomvi na leo meru wameandamana...
  8. D

    LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    Yanga haikukimbia kombe bali haikushiriki. Unapopewa mualiko kuna two options kukubali au kukataa. Timu ya wananchi ina ratiba nyingi na zote endelevu, hatuwezi kuharibu mipango ya Timu kisa tukaipe promo Azam TV. Tunajitambua nyie sijui mnasubiri nini?
  9. D

    LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    Ohk, kama ni huyo hata asiangaike, alizimia leo uwanjani nahisi bado atakuwa mnazi mmoja hospital au rahma
  10. D

    LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    Mesi yupo zurich switzerland kuhudhuria FIFA Ballon D'or
  11. D

    Simba SC, klabu iliyozaliwa na Yanga SC

    I salute you Great Thinker, KCC kashafanya yake kama ulivyotabiri.
  12. D

    Yanga yaichapa 3, ankara sekerspor

    Ugandan strikers Emma Okwi and Hamis Deigo Kiiza starred as Dar giants Young Africans (Yanga FC) beat Ankara Sekerspor 3-0 in a friendly match played at the Manavgat in Turkey. Didier Kavumbagu opened the scoreline for Yanga in the tenth minute, a goal that saw them break for half-time while...
  13. D

    Yanga yaichapa 3, ankara sekerspor

    Young Africans imeanza vizuri katika kambi yake ya mafunzo nchini Uturuki baada ya kuifunga timu ya Ankara Sekerspor kwa mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika pembeni kidogo ya eneo ililofikia katika mji wa Manavgat Antalya. Kocha wa Young Africans aliwatumia wachezaji 18 jumla katika...
  14. D

    Bible In Which Jesus Foretold The Coming Of Prophet Muhammad Found!

    A forum is a meeting or opportunity for an exchange of views. forum may be to contribute to education through research and debate. As a great thinkers tuko hapa kujifunza so argue with facts kwa faida ya wote ili tujifunze
  15. D

    Bible In Which Jesus Foretold The Coming Of Prophet Muhammad Found!

    A 1,500-year-old Bible in which Jesus is believed to have foretold the coming of the Prophet Mohammed (Peace be upon him) to Earth has attracted attention from the Vatican this week. Pope Benedict XVI has reportedly requested to see the book, which has been hidden in Turkey for the last 12...
Back
Top Bottom