Orodha ya marais 10 wavivu afrika

Orodha ya marais 10 wavivu afrika

Status
Not open for further replies.
Rais wetu mpendwa sio mvivu, anasafiri usiku na mchana kutafuta neti na mashuka ili mlale usingizi! Hebu kuweni na shukrani jameni
 
Ila siridi hii imewauma wengi coz mletaji kachana ukweli,itawauma na itawaingia sn,ukweli ndo huo."kusoma ni maarifa"
 
mkuu mimi binafsi namjua mmoja tu na huyo mmoja ni kwa saabu yu mtanzania mwenzangu na ni rais wangu kwa heshima na kwa kumpenda rais wangu namuuite Mh.Rais.Jakaya M.Kikwete ni MVIVU.
reason
1.lowassa alipojiuzuru, ktk hotuba yke alidai ameonewa(hakuulizwa)we kama rais haikuwa busara kupokea barua ya lowassa na kuhafiki uamuzi aliochukua.kuanguka kwa chaguo lako lowassa kumepeleke kuanguka kwa kila waziri wako na uombe umaliza salama .awamu moja mawaziri mia mbili huu ni umbulula

Hizi siasa hizi. Uvivu wa rais kisa kakubali waziri mkuu ajiuzulu? Imefika wakati sasa serikali iweke mipaka ktk matumizi ya jina la mh. Rais.
 
Wavivu ni wote waliokufa maana wameshindwa kuishi kwa uvivu wao ila hawa wafuatao ni wavivu ambao hawajafa bado;
1. Kagame
2. Mama wa malawi
3. Yule wa madagasca aliyepinduliwa
4. Yule wa misri aliyepinduliwa
5. Kikwet
6. rais wa mafisadi-richimondu
7. Wasire
na kadharika
 
raisi wa wasafi diamond...yaani jamaa mvivu ile mbaya kashindwa kutafuta demu mpya kila siku yeye na wema sepetu tu
 
anaeshikilia namba ni rais wa walimu ndio maana hadi leo mishahara yao haijapanda.
 
Watu wengine wachokonozi sana aisee... Ukishajua then what?
 
Matazamo wako uko wrong! Pole sana, hicho chama wameshaanza kufukuzana na kuumizana mapema hivi halafu kipewe nchi? A died man can't drive a car! Chama hicho kikichukua nchi nizikeni nkiwa hai! Sindano inauma lakini ndiyo dawa inaingia.

Body without head

so who is a dead man?mwenyekit aliyeshindwa kupambana na rushwa ndani ya chama chake au anyewawajibisha mamluki.cdm haijengwi na matraitor km zzk.cdm hakuna akina mwigulu so long live deadfly.
 
Hizi siasa hizi. Uvivu wa rais kisa kakubali waziri mkuu ajiuzulu? Imefika wakati sasa serikali iweke mipaka ktk matumizi ya jina la mh. Rais.

nimefedheheshwa sana,nimedhalilishwa sana,nimeonewa sana mimi sikuulizwa......
ulikuwa upepo tu ningeacha upite kuliko kuvunja baraza.ona sasa ccm yote inahemea mashine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom