Huo ni mtizamo wako Kibunange, lakini kwa maoni yangu Tanzania haikufuta LAANA bali ilijitafutia LAANA yenyewe kwa kitendo cha kutaifisha mali za wawekezaji. Kutaifisha mali ya mtu pasipo kosa nii DHULUMA, ni tendo lisilo la haki, ni tendo la uonevu na ni ukatili. Mwenyezi Mungu kakataza na...
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia 100, ila najiuliza itakuwaje baada ya kumaliza muda wake. Wasiojulikana watatuletea nani.?..watalamba dume kama hili au galasa..?
Tatizo kubwa la Watanzania ni uelewa mdogo sana (Very low IQ) kuanzia wa-STD seven hadi ma-professor wote wana tatizo hilo hilo. Mtoa mada kwa sababu ya uelewa wako mdogo, huelewi maana ya vyama vya upinzani na kazi zake. Marekani ni nchi iliyo na maendeleo katika kila nyanja, lakini kuna vyama...
Mwenye degree ya sheria, HR , engineer au finance anaongezaje skills au experience kutoka kwenye kazi ya ulinzi..Au yanakutoka tu kwa vile umeshiba hivyo humjui mwenye njaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.