Kardinali awaambia polisi kugoma amri ya serikali inapowatuma kuua wananchi

SubiriJibu

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
1,803
1,863
Kardinali Bartazar Porras amewahimiza askari wa nchini mwake, Venezuela kugoma wanapotumwa na serikali kutumia silaha za kuua kwa wananchi.

Amesema kazi ya askari ni kulinda wananchi na si kulinda serikali. Kwamba kila amri inayistahili utii ni ile ya kulinda wananchi na si ya kuua.

Kardinali Porras anasema kugoma huko kunaitwa "civil disobedience" ambayo ni haki ya kila askari duniani kugoma kutii amri haramu za serikali.

Kardinali Porras amesema hayo kukiwa na hali ya maandamano ya wananchi kila leo tangu Rais wa sasa aingie madarakani mwaka 2013.

NB:
Je, anachokisema kikoje katika nchi zingine?

SOURCE:
Civil disobedience is a fundamental right, says Venezuelan cardinal
 
This is true.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huku kwetu na njaa hii wanagomaje?? aliyetekeleza anapewa cheo na malupulupu mlima.
 
Kardinali Bartazar Porras amewahimiza askari wa nchini mwake, Venezuela kugoma wanapotumwa na serikali kutumia silaha za kuua kwa wananchi.

Amesema kazi ya askari ni kulinda wananchi na si kulinda serikali. Kwamba kila amri inayistahili utii ni ile ya kulinda wananchi na si ya kuua.

Kardinali Porras anasema kugoma huko kunaitwa "civil disobedience" ambayo ni haki ya kila askari duniani kugoma kutii amri haramu za serikali.

Kardinali Porras amesema hayo kukiwa na hali ya maandamano ya wananchi kila leo tangu Rais wa sasa aingie madarakani mwaka 2013.

NB:
Je, anachokisema kikoje katika nchi zingine?

SOURCE:
Civil disobedience is a fundamental right, says Venezuelan cardinal
Kawaulize venezuela sio Tanzania.

Nilifikiri ni huyu kadinali wetu.......ningeshangaa sana..
 
Duniani pote hao watu wenye kumwabudu Mungu Ndio Msingi wa kusimamia haki inapoporwa na watu wachache waliopewa majukumu ya kusimamia sheria katika jamiii.

Hata huku Afrika mashariki ni vema viongozi wa dini wakisimama kwenye ukweli na kulinda kura za watu ili zisiporwe na kakundi kadogo ka watu wabinafsi wanaolipwa kwa kodi za wananchi.
Vyeo vimekua ni fimbo ya kuwafanya watu kuwa na kiburi na kuamua kutumia vyombo vya dola kuwapiga wananchi ambao ndio walipa kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanafiki ndiyo wanaongoza kwa kuvuruga amani duniani

Back
Top Bottom