Mawaziri wapya wanatuchelewesha tunakotaka kufika

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,299
2,000
Unapochaguliwa mpya kuna kipindi kirefu cha kujifunza (latent phase) kabla ya kujuwa nini cha kufanya vinginevyo utaparamiaparamia ovyo Kwa njia ya kukurupuka Kwa kiwewe, hofu na woga wa kuepeka ya mtangulizi wako.
Kama kosa sio la jinai ni heri aliyeko akajengewa uwezo zaidi badala ya kuwekwa bench na kuteua atakayeanza Kwa kujifunza kwanza au kuparamia.
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,599

Kwa hiyo hata mwizi na mzembe kama wa Tra angevumiliwa na kupewa uzoefu?
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,299
2,000
Kwa hiyo hata mwizi na mzembe kama wa Tra angevumiliwa na kupewa uzoefu?
Unajuaje utakayemteua hatakuwa mwizi na yeye?

Rushwa na wizi chimbuko lake ni umaskini na maskini wanaomzunguuka mfanyakazi. Huwezi kula na kusaza na kumuacha mtoto wa dada yako kijijini afe Kwa kukosa matibabu kwakuwa dada yako hajalipwa korosho zake alizokopwa.

Hata umchague nani atakula Tu maadamu amezunguukwa namaskini wengi wanaomtegemea yeye.

Dawa ni kuboresha maisha ya watanzania wote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom