Kwa hiyo wewe unachekelea watu kutumika kinyume na maumbile sio?Binafsi mimi si mshabiki wa Magufuli 100% ila kuna wakati namuunga mkono 100% kwa maamuzi anayoyafanya.
Kuna mjamaa yangu ana bachelor ya sheria yuko kampuni ya Warrior kama mlinzi wa kawaida. Nilipomwoji anajisikiaje kulipwa 300,000 na elimu yake akasema sasa afanyeje ? Yeye ni dog handler kaniambia kuna wengine wana elimu kama au zaidi yake wanalipwa 280,000 take home, tena wako wengi.
Magufuli kaondoa ujinga na mazoea kwa watu wengi, naamini watu wengi watafunguka akili zaidi na kujitafutia njia mbadala za kujiingizia kipato zaidi ya kile ambacho angekipata kama angeajiriwa.
Kazi ya ulinzi inakuongezea nini kwenye CV kama wewe ni mwalimu?Sio vibaya kwasababu baadae bado wataweza kupata kazi wanazozifanya tena wakiwa na skills zaidi na zaidi. Wanaongeza kwenye CV zao kwa mazuri ya baadae.
Naamini wewe ndio mjinga kabisa, nilidhani ungesema raisi ameshindwa kuwapa vijana ajira kinyume na ahadi zake, ukiona mtu na elimu yake ameanza kufanya kazi ambazo wala hajazisomea basi kuna tatizo la msingi.Binafsi mimi si mshabiki wa Magufuli 100% ila kuna wakati namuunga mkono 100% kwa maamuzi anayoyafanya.
Kuna mjamaa yangu ana bachelor ya sheria yuko kampuni ya Warrior kama mlinzi wa kawaida. Nilipomwoji anajisikiaje kulipwa 300,000 na elimu yake akasema sasa afanyeje ? Yeye ni dog handler kaniambia kuna wengine wana elimu kama au zaidi yake wanalipwa 280,000 take home, tena wako wengi.
Magufuli kaondoa ujinga na mazoea kwa watu wengi, naamini watu wengi watafunguka akili zaidi na kujitafutia njia mbadala za kujiingizia kipato zaidi ya kile ambacho angekipata kama angeajiriwa.
Hapa ndio utajua kweli mtanzania 1 kati ya 4 ni taahira.Binafsi mimi si mshabiki wa Magufuli 100% ila kuna wakati namuunga mkono 100% kwa maamuzi anayoyafanya.
Kuna mjamaa yangu ana bachelor ya sheria yuko kampuni ya Warrior kama mlinzi wa kawaida. Nilipomwoji anajisikiaje kulipwa 300,000 na elimu yake akasema sasa afanyeje ? Yeye ni dog handler kaniambia kuna wengine wana elimu kama au zaidi yake wanalipwa 280,000 take home, tena wako wengi.
Magufuli kaondoa ujinga na mazoea kwa watu wengi, naamini watu wengi watafunguka akili zaidi na kujitafutia njia mbadala za kujiingizia kipato zaidi ya kile ambacho angekipata kama angeajiriwa.
Wamejisahaulisha kilicho times uarabuni yule msomi aliejichoma Moto na movement ikaanzia apo hadi kupelekea machafuko na raisi kuachia ngazi, mjazeni ujinga mtukufu anko na nyimbo wenu.Wapo kule ili kujizatiti. A day will come wadai malipo yao halali
Akili nyingi za CCM zipo hivi
Kima cha chini cha mshahara wa Serikali ni Tsh 150,000, sasa wao wanapomlipa Tsh 280,000 unawalalamikia wao ??Tatizo naloliona mimi si msomi kama huyo kuajiriwa kama mlinzi tatizo hapo ni makampuni yetu haya ya ulinzi yaongeze mshahara kwa wafanyakazi wake. kwani kazi za ulinzi ni ngumu na wao huchukua fedha nyingi kutoka kwa maboss.
Kwa kuongeza mishahara na vifaa vya kisasa vya kiulinzi hii kasumba kama uliyo leta wewe ya kuona kazi ya ulinzi ni kwa ajili ya watu ambao hawajaenda shule itaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana ila huna akili kabisaaaaaaaaa pumbavuBinafsi mimi si mshabiki wa Magufuli 100% ila kuna wakati namuunga mkono 100% kwa maamuzi anayoyafanya.
Kuna mjamaa yangu ana bachelor ya sheria yuko kampuni ya Warrior kama mlinzi wa kawaida. Nilipomwoji anajisikiaje kulipwa 300,000 na elimu yake akasema sasa afanyeje ? Yeye ni dog handler kaniambia kuna wengine wana elimu kama au zaidi yake wanalipwa 280,000 take home, tena wako wengi.
Magufuli kaondoa ujinga na mazoea kwa watu wengi, naamini watu wengi watafunguka akili zaidi na kujitafutia njia mbadala za kujiingizia kipato zaidi ya kile ambacho angekipata kama angeajiriwa.
Mwenye degree ya sheria, HR , engineer au finance anaongezaje skills au experience kutoka kwenye kazi ya ulinzi..Au yanakutoka tu kwa vile umeshiba hivyo humjui mwenye njaaSio vibaya kwasababu baadae bado wataweza kupata kazi wanazozifanya tena wakiwa na skills zaidi na zaidi. Wanaongeza kwenye CV zao kwa mazuri ya baadae.