Recent content by danizzo

  1. danizzo

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Kwa jirani kuna kigodoro Dj anarimoti ya using izo wangu kazi iPod
  2. danizzo

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    dah. nimekusoma mkuu. ila chakula chao je vp lazima niwape vya dukan? kwa wiki 3 izi. nimewapa stater kwa sasa naweza kuwapa mchanganyiko wa pumba na mashudu? Asante
  3. danizzo

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    mi namachotara 300 wana wiki ya 3. simchezo
  4. danizzo

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    habari wakuu. mimi nimeanza na vijogoo 310. nanimala yng ya kwanza. wana wiki 1 sasa chakula ninacho wapa ni stater. naomba ushauri ktk swala hili la chakula niwapatie chakula kipi ili wawe bora zaid asanten
  5. danizzo

    JamiiForums Tanzania Pitia labda itasaidia!!

    Habari zenu wanajamvi! Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa. 6¦6 Naombeni mchango katika hiki. Tsh120000, je! Inaweza kuzalisha Tsh1500, kwa siku? Kama haiwezi tafadhali naombeni mniambie kwanini! Na hatakama inaweza naombeni mniambie kivipi! Asante kwa ushirikiano.6¦6 Nawakilisha!
  6. danizzo

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    First tym Pm alisema zanzibar ni mkoa, leo nimemskia Mr prezD anasema zenji nchi!! Tumerogwa au? 3 ndo mpango naic!!
  7. danizzo

    JamiiForums Tanzania Nimemkimbia demu wangu jana, wahuni walitaka kunigegeda

    Za leo kali!
  8. danizzo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Mabomba ya gesi toka Mtwara yanaelekea Ulaya!

    

Duh! Bora maana ungeona sijui ingekuwaje! Dalili ya mvua!!!
  9. danizzo

    JamiiForums Tanzania Yupo tayari hata nmgegede lakini kakataa katakata kunipa namba yake ya simu!

    

Minyenyele!!
  10. danizzo

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kubadili Shilling kwa Dola

    

Usd faida yake ktk change haizidi xana sh 10. Sasa wewe kama mtu binafsi sio office unaweza vumilia upate 15000 kwa mtaji wa zaidi ya m10?
  11. danizzo

    JamiiForums Tanzania swali la leo

    Inategemea na msiba umeuchukuliaje na hasa kama ndo mfiwa mkuu. Kama mtu kateseka sana mi nitaweka kigodoro ila kama ndo ghafla tu kigiza chama2lubai ndo pake!
  12. danizzo

    JamiiForums Tanzania wengi tunasahau......

    

Wazee wa povu!
  13. danizzo

    JamiiForums Tanzania Nina matatizo makubwa mno(msaada jani)

    4400!!!!!!&;
Back
Top Bottom