Recent content by danieltz

  1. D

    Usilale kioo cha delressing table unajiona

    Kuna sehem nimesoma wadau wanasema kioo ni sawa na Cctv camera inachukua matukio yote ya ndani kwako uliokuwa unafanya, mipango yako n.k sasa wachawi wakija cha kwanza wanaangalia kwenye kikoo mipango yako yote na kila kitu kwhy inawapa wao kazi rahisi sana kukururga na kuharibu mipango yako kwa...
  2. D

    Ninawezaje kuifungulia mashtaka Benki ya NMB kwa dhuluma hii ya fedha zangu?

    Kwanza Pole sana nilichochogundua kuwa wewe ni mtumishi wa Umma na ndo maana Huyo manager amesema arakushitak kwa mkurugenzi wako Kwa ushauri wangu kwenye kutafuta haki usiogope wala nini anza kwanza kwa huyo mkurugenzi wako muelezee na HR manager wako. pia omba kuhama bank ya kupokea...
  3. D

    The dark side of business

    Muendelezee uko api
  4. D

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wekeni mikeka hiyo wakuu tuingie kazini😅
  5. D

    Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

    Jamaa ametuangusha sana ilitakiwa akupe talaka ukiwa muhimbili unatibiwa MOI unatibiwa mifupa, Yan ilitakiwa akuache kilema kabisa ili owe fundisho kwa mbuzi wengine kama wewe
  6. D

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Mchawi umri mzee ndo maana nimesema nimezika rasmi ndoto za kuwa askari
  7. D

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Acha niendele kumsifu bwana ndoto za kuwa Potty Rasmi nimezizika baada mkeka huu😭😭
  8. D

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Hivi wenye fani huko huwa wanafavour gani tofaut na wasio na fani...Mfano hayo mazoez ya utayar ni police wote hadi wenye fani au wenye fani wataendelea na kazi zao kulingana na fani zao??
  9. D

    Jinsi nilivyopata magonjwa

    Unaichapa masaa yote hayo yamekuwa mashindano..Vijana kama ww mna mchango mdogo sana kwa taifa😂
  10. D

    Nilijenga kwenye kiwanja cha mama mkwe,akachukua mkopo wakataka mie ndiye nilipe

    Alieandika hii ni Jinsia gani wakuu..Nashindwa kuelewa😁😁😁
  11. D

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Nikitoboa nitakuchek inbox kuna vitu nikuulize mkuu
  12. D

    Tahadhari ya utapeli: Kuna watu wanaenda kupigwa na kitu kizito!

    Ukituma hela kwny hiyo namba mda huohuo unaiona hela kwa account yn secunde tu hela inaingia haichukui hata dakika
  13. D

    Tahadhari ya utapeli: Kuna watu wanaenda kupigwa na kitu kizito!

    Nilichogundua kwa hawa jamaa ni kwamba ukiweka pesa kubwa kuanzia lako haitoki wanakwambia mara mtandao au unaweza kutoa ila mara moja alaf baada ya hapo utaambiwa baada ya siku 30 ndo utoe hela ujue ndo imetoka hapo😁😁
  14. D

    Tahadhari ya utapeli: Kuna watu wanaenda kupigwa na kitu kizito!

    Niliweka buku tano baada ya siku 2 nikakuta 9000 nikachomoa kuhela changu nikaacha buku 2 baada ya siku kadhaa nikakuta 6000 nimetoa nimewachia buku naisubiri ifike buku tano niruke nao😂😂
  15. D

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Nadhan hii ni baada y kumaliza mafunzo ndo mnapata check number kuwa watumishi rasmi wa serikali...Sema mtakuwa mnalipwa posho kila mwezi
Back
Top Bottom