Recent content by danielbrown

  1. danielbrown

    Baada ya kuzama chumvini kaanza kutapika, kuharisha, yupo hospital

    huo mchezo wa kuingia chumvini kiafya sio mzuri jamani,na sio kila mwanamke unae kutana nae uingie huko chumvin ,mwisho wa yote ni kutapka mbaka damu.
  2. danielbrown

    Utani Mwingine Bwana

    duuuuuuuuuuuu.....
  3. danielbrown

    MwIsho wa ugunduzi wa SIMU duniani!

    technologia inabadilika,kuna matoleo mengine yatakuju kadri siku znavosogea....
  4. danielbrown

    Ninampenda sana lakini najilazimisha kumsahau

    Duuuuuuuuuuuuuu...mbona njia panda xaxa.............
  5. danielbrown

    Siombi kazi tena....Mnfyuuuuusssss!!!!

    Xasa wote wakijiajili na je yale makampuni,au mashirika vikiwemo viwanda c vitakosa kazi na uzarishaji utapungua nchini.coz me najua kuwa zipo kazi nyingi tu zinazo hitaji waajili...... Mi naona kuajiliwa sio kitu kibaya... .pia unaweza ukaajiliwa na uku ukajiajili......HAYO NDO MAISHA YA MUJINI,
  6. danielbrown

    Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

    Sasa ao wanaume wa kikenya watamuona nani kama wanawake wote watawakataaaa.....?mi nahisi mapenzi ni hisiA,coz hata hapa bongo wapo wanawake wanaishi na wanaumewao kila siku kipigo but bado wanaendelea kukaa na hao wanaume wao.......keep on ur mind +((LOVE IS FEELING OF SOMEONE TO SOMEONE )))new...
  7. danielbrown

    Sababu ya wanawake kuzuiwa kuendesha magari Saud Arabia

    Mi naisi ni kutokana nchi hile kutotaka wanawake wasifanye baadhi ya shughuri anazo fany mwanaume.....lakini huuu ni ubaguzi wa jinsia.IS NOT FEAR.
  8. danielbrown

    Msaada.....ndugu yangu anapotea huku namuona..loh inauma sana..

    Pole sana kwa hilo la rafiki yako....ushaur wangu ni vema mngempeleka kwenye makanisa au misikitini pia uenda kwel kalogwa coz hawa watu sio watu....pia ungeenda katika mahospitali makubwa ambayo wapo wanadaikolojia walio bobea ungeweza pata msaada zaidi.
  9. danielbrown

    Simba na yanga! Timu ipi ina fans wengi zaidi..piga kura yako hapa

    Jib ni yanga ndo inamashabiki wengi nikiwemo hata mimi..
  10. danielbrown

    Ninampenda sana lakini najilazimisha kumsahau

    Wewe utakuwa bado unampenda uyo mwanamke.na kitu cha kufanya ili uepuke nae umsaau ni vema kwenda kuishi mbali na alipo yeye.
Back
Top Bottom