Recent content by danielawit

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni ubwege kumsaidia mke wako kufua, kupika na kwenda sokoni?

    Husband material. Mependa
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani sana kumuacha ila nashindwa

    Pole sana......jifunze kumsahau utamove on......
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nikipona mchepuko anakula kibuti maana haridhiki

    Duh........kaka! Michepuko ya chuo sikushaur
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nikifunga ndoa kwa style hii jamii itanielewa kweli?

    Hahaha eti Skype......
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    Mimi nipo single sababu sijapata mwanaume sahihi anayenifaa
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe Mchaga

    Itakuwa ulipata mchaga wa mwaka 47..... Hujapata new model......hahaha utajutraaaa
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/mke ila tuishi kujaribiana kwanza

    Hahaha huyu kaka jaman kaniacha hoiiiii......duh
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyetayari kuolewa njoo

    Mim nipo tayar ila sio mweupe .....hahahaha
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba finally mke wa maisha

    Naona kaka kaweka vigezo kama umbo, rangi......safiii....wadada jitokezeni. Maaana tabia kaka atakupunguzia yake
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe Mchaga

    Fact....hiyo ni tabia ya MTU......kabila lipo tyuuuu
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliweka ahadi ya kuoana, leo amenigeuka

    Poleeee
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Moyo umevunjika, siamini msichana tena

    Pole sana bro, jifunze kusamehe kusahau na kumove on with ur life. Open ur heart for new relationship! Ila huyo mwanamke usirudi kwake asikuharibie tena maisha
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe Mchaga

    Pole sana kaka, mwanamke wa kabila lolote anafaa kuwa mke na kila mtu ana tabia yake. Unaweza ukaoa huyo mmeru wanaomtaka wao na ukajuta! Mim n mchaga n am proud to be chagga girl(superb
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ahsante mama nimekuelewa, samahani sana Irene wangu

    Wew ni kabila gan? Then ushaur ufuate
Back
Top Bottom