Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,152
- 11,209
Asa maneno kwa ajili ya nini??? Maneno yako mengi ya kusikiliza ata redioni ntasikiliza ye afanye tu vitendo ntaelewa zaidiUnaamanisha sasaiv nimaneno navitendo nasio maneno bila vitendo
Asa maneno kwa ajili ya nini??? Maneno yako mengi ya kusikiliza ata redioni ntasikiliza ye afanye tu vitendo ntaelewa zaidiUnaamanisha sasaiv nimaneno navitendo nasio maneno bila vitendo
'PROMISES ARE MADE IN ORDER TO BE BROKEN'Mambo vipi wadau,
Mwenzenu yamenifika shingoni!
Binti tumehaidiana nimalize chuo niweke ndani, leo ananipa habari kuna mchumb kaja kwao, ukicheck life yangu bado sana. Nachoka.
Nimeumia sana.
Kawaidah hiyo mzee mwenzangu ..... Kaza moyo ...nyanyuka endelea na safari ......love is very complicated.... Cha msingi pambana kutimiza ndoto zako ....mkuuMambo vipi wadau,
Mwenzenu yamenifika shingoni!
Binti tumehaidiana nimalize chuo niweke ndani, leo ananipa habari kuna mchumb kaja kwao, ukicheck life yangu bado sana. Nachoka.
Nimeumia sana.
Mambo vipi wadau,
Mwenzenu yamenifika shingoni!
Binti tumehaidiana nimalize chuo niweke ndani, leo ananipa habari kuna mchumb kaja kwao, ukicheck life yangu bado sana. Nachoka.
Nimeumia sana.
Kwawanawake wetu waleo sio vzr kuwatambulisha home kama bado mipango yako yakuoa haipo tayar lasivyo utatambulisha wengi nautakuwa unaaibika kila Leo nahii sio kwaboy tu ila hata kwawanawake sio kila mtu mnamtambulisha home wakat wajua kabisa bado hamjawa tayar kwawakat huo kuoa/kuolewa.Wanaume ndio mbadilike sio kila cku i luv u so much bby, lazima pia uweke vitendo, na pia kumtambulisha kwa wazaz ndugu na mipango mingine ya kimaisha sio huelewk ukiulizwa ndoa chenga kibao kaja wenye lengo na anaonesha vitendo ndio akae akusubirie ww kila cku swaga, mjifunze sasa nakubadilika