Natamani sana kumuacha ila nashindwa

Natamani sana kumuacha ila nashindwa

Nae anataman saana kukuacha sema inampa ugumu ..ndo unaona anadirki kuja na love bites... ni vile anashindwa tu namna ya kukuacha...unajua kuna ugumu wake katika kuachanaee,pole sana chief
 
Moja ya mambo ya kuwa mwanaume ni kuwa jasiri, kufanya maamuzi magumu ambayo wanawake hawayawezi na kuwa na msimamo.

Hadi hapo brother uko opposite na sifa za wanaume.

Pole sana, u knw wht to do!
 
Ama kweli kusikia kwa kenge mpaka damu zimtoke maskioni...! Hivi pamoja na viashiria vyote hivyo kuwa mpenzio ni mzinzi bado tu umeziba masikio? Subiri maumivu....!
 
Moja ya mambo ya kuwa mwanaume ni kuwa jasiri, kufanya maamuzi magumu ambayo wanawake hawayawezi na kuwa na msimamo.

Hadi hapo brother uko opposite na sifa za wanaume.

Pole sana, u knw wht to do!

mmmhhh
kazi ipo

kupenda jamani
 
Jambo wana JF!
Nimekuwa na huyu mwanamke karibia miaka miwili sasa, mwanzoni mapenzi yetu yalishamiri sana nilimpenda sana na hakuna shaka lolote kuwa nae alikua akinipenda sana.

Ameanza vituko hivi karibuni. Amekuwa ni mwingi wa usiri, busy sana na simu tukiwa pamoja na hizi dalili zinanionesha kuwa kashapata bwana mwingine ila kila nikimpa uhuru wa kunieleza ukweli kama hanipendi tena anakuwa mgumu.

Mimi binafsi natamani sana kumuacha niendelee na maisha yangu ila moyo umekua mzito kwa jinsi ninavyompenda huyu mwanamke, nimekuwa nikiumizwa sana na vitendo vyake hivi. Mbaya zaidi hivi karibuni nimemkuta na love bite ila yeye anapinga akisema si love bite kwa kuwa ni sehem ndogo tu.

Najitahidi nimpe go ahead but nashindwa kabisa...kila nikimpigia simu kumweleza tuachane nabadili topic, nikitaka kumtext najikuta nafuta sms sijui nimewekewa limbwata au ni nini kiufupi sijielewi nabaki naugulia kimoyo moyo tu na yeye habadiliki.

Nishaurini bandugu nifanyeje?? Najua nitapokea matusi dozen but ready for that atleast yatanipa the way forwad.
Kweli wanaume ni wacheche, wengi walibakia ni wavulana, tena wasiokuwa na maamuzi
 
nadhan ulikua unashindwa kumuacha kwa kuhofia upweke na kuanza maisha mapya bila yy. ila trust me ukishachukua uamuzi every thing else vinakua rahisi.
 
Kama umepewa limbwata bx hata2kikuxhauli haita xaidia,wlo pew limbwat ote huwa wagum xn kuxhaurka .....
 
You are a man... na moja ya sifa za mwanaume wa ukweli ni kufanya maamuzi magumu. Just jitahidi ujue chanzo.. ukishajua nini tatizo then maamuzi ni yako.
 
Back
Top Bottom