Recent content by Daniel Nicholaus

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hii Chai nimeikuta FB

    Dah!? Ina maana serikali yetu ndo mamburula namna hii duh!!!! Kama ndo hivi nchi imesha uzwa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Siku chache baada ya kutuma maombi ya kazi nikapokea sms hii

    Huyo jamaa tapeli hamna lolote
  3. D

    JamiiForums Tanzania tathmini ya matokeo mapya ya form 4

    mh! Sidhani mi nakumbuka nilivyokuwa form 3 hayo yote yalikuwa yamekaa kichwani so mi naona ni kweli kuwa hao watoto hawasomi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Grade mpya za a-level

    we ulisikia wapi embu funguka basi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Grade mpya za a-level

    halafu we jamaa acha masihara naamini kama wewe ni mwanafunzi wa A-level nadhani izo tetesi utakuwa umesha zisikia
  6. D

    JamiiForums Tanzania Grade mpya za a-level

    mimi nasoma Benjamini na tumeandikiwa na walimu wetu ubaoni
  7. D

    JamiiForums Tanzania Grade mpya za a-level

    mimi nasoma benjamini na tumeandikiwa na walimu wetu ubaoni
  8. D

    JamiiForums Tanzania Grade mpya za a-level

    Jamani wasomi wenzangu naomba mnisaidie nasikia kuwa marks za A-level zimepandishwa na sina uhakika kama ni kweli.Grade zenyewe ni hizi hapa: 0-39=F 40-44=S 45-54=E 55-64=D 65-74=C 75-79=B 80-100=A
  9. D

    JamiiForums Tanzania Bongo Flava New mp3

    Hii ndo baba lao mjomba www.Hulkshare.com
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye links za kudownload Nyimbo za Dini

    kaka natumia simu nimeshindwa kupakua nisaidie
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye links za kudownload Nyimbo za Dini

    Nyimbo za injili kaka
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye links za kudownload Nyimbo za Dini

    Jamani wanajamii kama kuna mtu anazijua website za kudownload nyimbo za dini za Tanzania naomba anisaidie
  13. D

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    I get it
  14. D

    JamiiForums Tanzania How to use JamiiForums effectively

    Ni kweli kabisa
Back
Top Bottom