Thanks bro, CS Naipenda sana ila najua itanishinda kwa sababu somo la hesabu & Physics tangu nilipokua FORM II hadi FORM VI nlikua napata F. Itabidi tu nikapige IT sina namna. afu nimefatilia vyuo vya serikali ambacho entry qualifications zake hazihitaji pass ya Mathematics ni NIT tu...
Asante kwa usharudi bro ila mm kwenye mathematics na phyisics ni mbovu balaa. Nilitamani sana kusoma course mojawapo Kati ya Computer science, Computer engineering na IT. Nikafanya uchunguzi na kuona kwamba kati ya hzo kozi tatu zote, ni IT pekee ndo Haina mahesabu ndo mana pale Chuo cha NIT...
Bro, mm ni mwalimu, Nina degree,, nimeajiriwa huku halmashauri ila mshahara ni kiduchu sana. Mm ninapenda sana technology issues but sina knowledge yyte about technology. Nataka niende nikachukue degree nyngne ya IT pale chuo cha NIT MABIBO. Unanishauri nijikite na field gan zaidi Kati ya cyber...
simu used znazouzwa madukani mara nyngi huwa zmetumika nchi za nje hasa hasa china, japan, usa, dubai. Je kati ya hzo nchi hapo kuna nchi ambayo inatumia Samsung A series?? au unaposema wanauza Samsung used unamaanisha nini?
Hicho chuo chenyewe cha moro sio chao, ni mali ya wakatoliki. hawa waislamu walikuaga na majengo yao pale iringa mjini ambapo leo hii pana chuo cha wakatoliki (RUCO). Sasa wakatoliki waliyahitaji hayo majengo yaliyopo hapo iringa kwa hyo wakawajengea waislam hcho chuo cha moro as an exchange.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.