Recent content by Dan Zwangendaba

  1. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Waziri mzima unaenda kugombania usupply jezi badala ukomae timu inashinda vipi

    Hata mie ningekuwa mchezaji ningepata mchecheto. Imagine unaingia uwanjani huku ukijua umevaa tambara ni Psychological torture tayari.
  2. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu rahisi kuopoa manzi kama Zanzibar

    Fallacy of Generalization
  3. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu rahisi kuopoa manzi kama Zanzibar

    Porojo tu kama porojo nyingine
  4. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor

    Kama hujui hesabu, simply haujui chochote. Wahimize wanao wasome hesabu kupunguza malalamiko ya namna hii kwa wanao.
  5. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Wanaume hakuna raha kubwa wanayoipenda wanawake kama pale wakimwaga maji

    Na hizi ndizo mada zenye wachangiaji wengi huko Facebook na Insta na nduguze. Hakuna siku maendeleo yatafikiwa na bara hili.
  6. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Kama umefungua code vilee😃
  7. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

    Issue ni umaskini tu sio rangi per se. Dunia imewapambanua watu weusi kama watu maskini. Siku watu weusi watakapotambuliwa kama watu matajiri duniani, hata malaika watataka kumingle nao (sizungumzii utajiri au pesa za mtu mweusi binafsi). Yaani nazungumzia overall image ya mtu mweusi duniani...
  8. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

    Dawa ni kile kinachokuponya, mengine ni mbwembwe za madaktari tu. Nakukumbusha tu kuwa dawa maarufu ya tumbo ni fragyl😀
  9. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Uzuri wa Bongoland hujui wakati gani ni maigizo na wakati gani ni uhalisia.
  10. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Huku vikindu hatuna wapangaji kabisa, tuna wenye nyumba tu huyo muacheni hukohuko aliko. Mtamuua kwa msongo huku. Mkuranga mtuache na upepo wetu na sauti za makuti ya minazi.
  11. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Baada ya dilema ya muda mrefu sasa yametimia nilichokuwa nakiwaza kimetokea nini kinafuata sijui

    Kama sio chai, basi usiende huko kwenye hiyo ajira. Take off ya Biashara iko mlangoni kwako. Ukienda huko Biashara itakufa tu hiyo.
  12. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Hata Subaru SK9, cc ~2500 ni 🔥 kinoma
  13. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Geita Gold | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 31-08-2026

    Amecheza poa lakini aliyeichezesha timu leo ni Chilambo.
  14. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Geita Gold | NBC Premier League | Maj.Gen Isamuhyo Stadium | 31-08-2026

    Hivi Loemba hali kitu cha Arusha kweli?
Back
Top Bottom