Recent content by Damidizzo

  1. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kufungua game kwenye Ps2 kutoka kwenye flash

    Msaada jinsi ya kufungua game kwenye Ps2 kutoka kwenye flash unabonyeza batani gani na gani???
  2. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania SOLVED: Kwa wale wote waliotuma maombi NBS na hawajatumiwa e-mail ya password fanya hivi

    Inawezekana kwa asilimia 100%. Nimefanikiwa. Msiwe mnakosoa tu kabla hajajaribu waungwana. Umetisha sana mtoa mada. Waache customer care wao waendelee kuringa 🤣😂
  3. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda sensa 2022

    Hiduma kwa wateja umewapata kwa namba ipi mkuu maana me nawatafuta siku ya nne leo siwapati!
  4. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewasiliana na Customer Care ya Sensa?

    Jamani kama kuna ambae amefanikiwa kuwasiliana na customer care wa sensa wanasemaje kuhusu ambao hawajapata meseji ya nywila au namna ya kupata namba ya siri kwa ujumla?
  5. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu, ni kigezo kipi kinatumika kuajiri walimu wenye sifa sawa

    NDO HIVYO NILIVYOVITAJA
  6. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu, ni kigezo kipi kinatumika kuajiri walimu wenye sifa sawa

    As long as umesoma chuo kinachotambulika na serikali ukapata cheti hamna kigezo kingine.
  7. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ukishaweka cha diploma au degre kikawa uploaded successfully kuna option ya "ongeza" kwenye Taarifa za elimu ya chuo unaweka hicho kiwango chako cha elimu kingine. Rejea kielelezo hapa chini.
  8. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za hiari za jeshi 2022-2023

    Kabla ya June. Ni kuanzia February hadi Mei, ndani ya muda huo zitakuwa zimetoka.
  9. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Mabati ya ALAF yako overated sana

    Nimependezwa na lugha!:p
  10. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Msaada Tutani

    Habari za wakati huu waungwana? Naomba muongozo na ushauri kwa ajili ya jamaa yangu anahitaji kuuza miti yake ya pine iliyopo kwenye shamba la ukubwa wa hekari moja na ina umri wa miaka 5. Muongozo anaohitaji ni juu ya estimation ya price range yaani anaweza pata bei gani hapo na kama...
  11. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, Serikali itazame upya jambo hili

    Hoja alizotoa hata Li Hoja alizotoa hata hazina mashiko. Hivi kutuma taarifa kwa usahihi kunahitaji kukesha two nights cafe!!??. Ajira zilitangazwa kwa watu wenye taaluma au kwa maskini??? Mfumo wa kuomba ajira haukuwa perfect ndo maana na wenyewe wamejaribu ku adjust fairness ili ku clear...
  12. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, Serikali itazame upya jambo hili

    Unaulaumu mfumo, serikali, umaskini wako au aliyeajiriwa? Halafu kila aliye apply alikuwa ana uhitaji kwahyo ulitaka upate wewe wengine wakose? Pambana na hali yako. Subiri hizo 5000 zilizobaki ndio za maskini waliotuma taarifa kwa usahihi.
  13. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu changa la macho

    Generally, mtoa mada umefeli in all aspects.
  14. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya Ualimu (Private School)

    #Correction: Matokeo ya semester 5 hayana transcript. Hiyo uliyonayo ni provisional results. Alafu rudi nyumbani kwanza. Hakuna uhusiano wa maisha ya kitaa na degree yako, ukitaka kujitegemea kajipange tena upya hapo ulikuja kwa ajili ya kusoma sio kutafuta maisha. Tatizo mkijaga mjini mnaishi...
  15. Damidizzo

    JamiiForums Tanzania Kuomba ajira za ualimu 2020

    Mungu atusaidie sana.
Back
Top Bottom