Kuomba ajira za ualimu 2020

MWAMTOBE

Member
Jun 18, 2012
85
21
Wadau Habari za Leo. Mwenzenu nimekwama kwenye kuomba kazi ya ualimu kwa mfumo wa TAMISEMI.

Nilifungua account na kila nikilog in inagoma kabisa inaniandikia wrong credentials. Nikijaribu kwenda ku reset password, naambiwa Failed to deliver to..... (email).

Kama Kuna mtu anaweza kunisaidia jambo hili nitashuruku Sana.

Ahsante sana
 
Leta details zako tuone
 
Kama imekuandikia CONGREGATION bado Mkuu.....Rudia upya
Hawa wasomi wetu wanaodai eti wana degree za sua na udsm wakati mwingine unaweza lia kwa wayafanyayo

Juzi kuna mwalimu kaja kijiweni kwangu kasoma history na English basi nikawa nascan vyeti vyake ,mwisho nikamwambia andika barua ili niiscan si akashindwa,nikampa barua za wenzake waliofanya maombi ili aangalizie hapo ndo ikawa pona pona yake,kwa kweli niliumia na kukasirika sana

Nilibaki na maswali mengi inakuwaje mtu anajiita eti degree holder from UDom ashindwe jambo dogo kama hili,

Mungu aingilie kati hawa wasomi wetu.
 
Mungu atusaidie sana.
 
Jaribu kuwatafuta TAMISEMI, kuanzia kesho wapigie simu nyingi Sana utabahatika kuongea nao. Shida inawezakuwa umesahau password yako na mfumo wao haukuwezeshi kuipata password. Kwahiyo unapoandika username yako ukiingiza password zinakuwa hazi-match.

Kuna mtu ninaemfahamu aliepata hiyo changamoto. Aliwapigia Sana mwisho wa siku wakampa maelekezo jinsi ya kufanya.
 
Hawa wasomi wetu wanaodai eti wana degree za sua na udsm wakati mwingine unaweza lia kwa wayafanyayo

Juzi kuna mwalimu kaja kijiweni kwangu kasoma history na English basi nikawa nascan vyeti vyake ,mwisho nikamwambia andika barua ili niiscan si akashindwa,nikampa barua za wenzake waliofanya maombi ili aangalizie hapo ndo ikawa pona pona yake,kwa kweli niliumia na kukasirika sana

Nilibaki na maswali mengi inakuwaje mtu anajiita eti degree holder from UDom ashindwe jambo dogo kama hili,

Mungu aingilie kati hawa wasomi wetu.
...Punguza ujuha..Kwani mtu kuwa na degree ndo kujua kila kitu?
 
Mkuu ungenipinga kwa hoja na sio kunituhumu, ugumu wako wa maisha.unataka uuhamishie kwangu,?

Ngoja nikueleze kuwa mwalimu wa kingereza kuna topiki kama moja kwa kidato cha pili inayohusu uandishi wa barua ,kidato tatu na cha nne vile vile,sasa kwa mwalimu wa kingereza asiyejua kuandika barua atamfundisha nini mtoto wa kidato cha pili

Ndo maaana katika hoja yangu nimetaja mwalimu wa history na kingereza, angekuwa wa hesabu na fizikia nisingeshangaa

Mwisho wa siku punguza jazba kwa hoja za mitandaoni maana utakufa mapema kabla ya umri wako halali.
 
....lengo lako lilikuwa ni kudhalilisha watu wenye degree kwamba hawajui kitu ndo maana katika hoja yako umetaja maneno "degree za sua na udom" ukimaanisha watu walosoma hivyo vyuo hawajui kitu Kisa ulimpa mmoja kukopi barua. Sasa kama kuwa na degree ni kujua kila kitu mbona meko anazo tatu lakini hajui kiingereza?...
 
Hawa wasomi wetu wanaodai eti wana degree za sua na udsm wakati mwingine unaweza lia kwa wayafanyayo

Juzi kuna mwalimu kaja kijiweni kwangu kasoma history na English basi nikawa nascan vyeti vyake ,mwisho nikamwambia andika barua ili niiscan si akashindwa,nikampa barua za wenzake waliofanya maombi ili aangalizie hapo ndo ikawa pona pona yake,kwa kweli niliumia na kukasirika sana

Nilibaki na maswali mengi inakuwaje mtu anajiita eti degree holder from UDom ashindwe jambo dogo kama hili,

Mungu aingilie kati hawa wasomi wetu.
Hili ni janga la kitaifa.....na hawataki kukosolewa katu!
 
Kuandika barua inahitaji kuwa na degree!? Bila shaka wewe ni mwalimu unayesubiria ajira, utakuwa unawalisha watoto wa watu matango pori!
.....Kama unalijua hilo imekuaje ukahusianisha hoja ya uandishi wa barua na degree..? Afu usikariri maisha kudhani kila anaechangia huu uzi anasubiri ajira akiwa kwa shemeji yake kama ww..mwaka wa nne huu napokea mpunga kwenye ATM za nmb kila mwisho wa mwezi...
 
Back
Top Bottom