Ajira za walimu changa la macho

Ajira za walimu changa la macho

Kama vijana wenyewe ndio design hii bora waendelee kusoteshwa mitaani.
Mtu umesota kitaa miaka 3-5 kisha uajiriwe leo kwasababu ya uchaguzi ndio iwe sababu ya kumpa kura Magufuli!!!

Kuna Mzee mmoja kazini juzi alisema kama Magufuli akiongeza mshahara October basi tutamwagia kura mpaka ashangae. Aliniboa sana, moyoni nikasema kwa upumbavu huu ni heri Magufuli asituongezee mshahara tu .
 
Watu wasifanye makosa 28october, tumechoka hii hali
 
Nikiwa mtaani,

Katika muendelezo wa kampeni huku wagombea wakijinadi kwa sera zao mgombea mmoja aliamua kutangaza ajira za walimu kama ilivotokea.

Baada ya hapo maombi yalifanyika huku watu wakizisubiri kwa hamu hzo ajira na kadili sku zinavoenda vijana wana uchu na ajira hzo lakini wanaona kama wanaingizwa cha kike.

Vijana hao wameenda mbali na kudai kuwa mheshimiwa huyo asipozitoa kabla ya Uchaguzi basi anaweza kuwaacha hewani au zikaenda mpaka mwakani kwa madai atakuwa anasema (msiwe na wasiwasi m ndo rahisi).

Mipango ya vijana hao wanasema ikifika 20 Oktoba mzee katulia n bora kumfyekelea mbali kwan wanaona anawazunguka na kuwachosha.

M kama mpita njia nimewaambia nyie vijana emu kuwen waungwana maana rais wetu ni mcha Mungu na mwaminifu.

Vijana nawaasa tutulie kwenye kipindi hiki cha kampain tupate vzuri sera za wagombea.
no evidence napia your expln still too shallow azina connection na title,abv all watoe wasitoe maisha lazima yaendelee, so don't fret yourself love what you've atakama kidogo keep doing it , what matters kuwa creative, work hard pray harder...kama ajira itatokea its ok....pia kumbuka politician they're job seekers just like us.
 
Raisi mwenye chuki, wivu na roho mbaya katika awamu yake Kuajiri sio kipaumbele chake. Hizi nafasi alizitangaza kimihemko tu wala hakuwa na Nia ya kuajiri
 
Nikiwa mtaani,

Katika muendelezo wa kampeni huku wagombea wakijinadi kwa sera zao mgombea mmoja aliamua kutangaza ajira za walimu kama ilivotokea.

Baada ya hapo maombi yalifanyika huku watu wakizisubiri kwa hamu hzo ajira na kadili sku zinavoenda vijana wana uchu na ajira hzo lakini wanaona kama wanaingizwa cha kike.

Vijana hao wameenda mbali na kudai kuwa mheshimiwa huyo asipozitoa kabla ya Uchaguzi basi anaweza kuwaacha hewani au zikaenda mpaka mwakani kwa madai atakuwa anasema (msiwe na wasiwasi m ndo rahisi).

Mipango ya vijana hao wanasema ikifika 20 Oktoba mzee katulia n bora kumfyekelea mbali kwan wanaona anawazunguka na kuwachosha.

M kama mpita njia nimewaambia nyie vijana emu kuwen waungwana maana rais wetu ni mcha Mungu na mwaminifu.

Vijana nawaasa tutulie kwenye kipindi hiki cha kampain tupate vzuri sera za wagombea.
Generally, mtoa mada umefeli in all aspects.
 
no evidence napia your expln still too shallow azina connection na title,abv all watoe wasitoe maisha lazima yaendelee, so don't fret yourself love what you've atakama kidogo keep doing it , what matters kuwa creative, work hard pray harder...kama ajira itatokea its ok....pia kumbuka politician they're job seekers just like us.
Mmmh out of point,my foot
 
Mkuu kwa hiki kimombo interview hautoboi.
 
Ishu ipo hivi, Bwana mkubwa anatamani kutoa hizo ajira kabla ya uchaguzi lakini pia anasita kutoa ajira hizo kabla ya uchaguzi maana anapiga hesabu itakuwaje akazitoa na baada ya hapo akapigwa chini?
 
Kwel kuna haja ya VETA na SIDO kuzidi kupokea wanafunzi wengi zaidi. Watu wafahamu kuzalisha bidhaa mbal mbal kwa mtaji mdogo na kujipatia kipato cha kuendesha maisha ya kila siku.

Haiwezekan kundi kubwa la vijana linasubiri ajira hizi chache tena kwa hamu kubwa uku walioomba ni wengi, hiki ndio kinachopelekea vijana kujiingiza kwenye ulevi wa madawa ya kulevya. Unaosababishwa na msongo wa mawazo.

Serikali inabidi ichukue hatua katika hili.
Nawasilisha.
 
Ishu ipo hivi, Bwana mkubwa anatamani kutoa hizo ajira kabla ya uchaguzi lakini pia anasita kutoa ajira hizo kabla ya uchaguzi maana anapiga hesabu itakuwaje akazitoa na baada ya hapo akapigwa chini?
Akili za usiku
 
Back
Top Bottom