Recent content by damashizo

  1. D

    Mshahara wa tutor katika vyuo vya diploma vya Serikali ni kiasi gani?

    Swala la mishahara ya wakufunzi limepitia katika vipindi Kama vitatu kuanzia 2007 . Kwanza kabla yake idara ya ukufunzi ilikuwa sawa na idara zingine za ualimu hivyo mishahara haikutofautiana. Kuanzia mwaka 2007 serikali ilitoa waraka ikiainisha kuwa Walimu wanaotakiwa kufundisha vyuoni ni wenye...
  2. D

    CCM njiapanda Urais 2015: Kumpitisha Lowassa au chama kumeguka

    Ni mitazamo miwili tofauti ninayoona kwamba ni vigumu sana CCM kumteua EL pia ni rahisi kwa CCM kumsimamisha EL. Mtihani huu na kitendawili hiki kila nikifikiria kwa undani ni mgumu sana. Mosi ni ukweli usiopingika kuwa EL anakubalika na watu wengi nje na ndani ya chama ukilinganisha na wagombea...
  3. D

    Natafuta tenda ya kuchapisha na kusambaza mitihani kwenye mashule

    Ache I kuchezea Elimu unasambaza mitihani unauwezo gani Wa kuhakikisha usalama Wa mitihani? Kama NECTA bado wanachangamoto za usalama Wa mitihani sembuse mtu binafsi? Huna askari polisi Wa kusindikiza; wala Afisa usalama au nyie mnaangalia fedha tuu? Haijalishi ni testi au mtihani Wa muhula...
  4. D

    Mambo yatakayo waondoa CCM madarakani

    Katiba mpya; rushwa na ufisafi mfano escrow; biashara ya madawa ya kulevya na pembe za ndovu; mpasuko mkubwa Wa kisiasa utakao tokea ndani ya ccm; mwunganiko Wa vyama vya upinzani (UKAWA); Uhaba Wa Ajira kwa wahitimu mbalimbali; Maisha magumu kwa wafanyakazi na wakulima; Mfumuko Wa bei...
  5. D

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Kwa mujibu Wa maelezo ya viongizi mbalimbali Wa wizara ya Elimu ni kwamba walimu wameshatosha isipokuwa walimu Wa sayansi so walimu mnaosubiri ajira kaeni mguu mmoja ndani na mmoja nje jipangeni kuanzisha ujasiliamali mane no hay a yameongelewa ktk maeneo tofauti tofauti na waziri Wa Elimu...
  6. D

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kata ya Mlangali; Vijiji 6 vilifanya uchaguzi. Vijiji 6/6 Chadema imeshinda. Kijiji cha Lufumbu. Vitongoji 6 vilifanya uchaguzi. Vitongoji 5/6 Chadema imeshinda. Kitongoji 01 cha Maganga kura zimegongana. Habari ndo hiyo!! Tafakari!!
  7. D

    How can i repair the scrached DVD ?

    Naomba ushauri Wa namna ya kurudishia CD (DVD) iweze kuonesha (play) video coz ni CD ya arusi na sina CD nyingine ya kumbukumbu. Asanteni kwa mawazo yenu
  8. D

    Naomba kujuzwa ripoti ya ESCROW itasomwa saa ngapi

    Wadau taarifa nimepata kuwa ripoti ya ESCROW itasoma tarehe 26/11/2014 but sijui muda naomba kujuzwa. Asanteni
  9. D

    nauza kabichi zipo kondoa dodoma

    Nauza kabichi aina ya seminist na mkulima hybreed or F1 zina uzito wa kilo moja had tano bei miasaba had elfu moja zipo nyingi zaidi ya elfu kumi na tano mawasiliano 0764256570
  10. D

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr slaaaa
  11. D

    Wizara ya Elimu mnaugonvi gani na walimu/wakufunzi?

    Hakika ningelikuwa na uwezo ningemfukuza minja maramoja kwani amekuwa ni kero sana. Kwa kifupi anamatatizo mengi mosi nizembe nilishawah peleka barua akasema nitashughulikia akaweka ktk drop nilirud baafa ya miezi minne akaniuliza wee nan kwann hukuleta taarifa mapema nikamwambia nilikuja na...
  12. D

    Suplementary kwa walimu wa astashahada ya ualimu

    Serikali imesikia kilio cha wanachuo wa ngazi ya Cheti(astashahada) a.k.a Grade A kwa kuwaruhusu kufanya mitihani ya marudio kwa masomo ambayo watafeli. Kabla ya halo ilikuwa mwanachuo akifeli somo la Ualimu hatakama atafaulu masomo yaliyosalia alikuwa anapoteza sifa ya kuwa mwalimu. Vile vile...
  13. D

    vijana 60 wa vyuo vikuu mkoani Morogoro waikacha Chadema na kujiunga na CCM

    Wanaaibisha vyuo wanavyotokea coz elimu yao haijawakomboa nawaasa vijana wasiyumbe ktk sula la ukombozi hususani kupitia chama makini chadema. Msomi usipokuwa na dira wala mwelekeo je ambao hawajasoma watafanyaje? I beg them to think big
  14. D

    Mbowe amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Naona kama na ww no mhaini aka unatokea upande uleee
  15. D

    Kutokana na Maelezo ya Lissu, Zitto Zuberi Kabwe Ameishavuliwa Rasmi Uanachama CHADEMA!

    Ccm hawawezi na hawataweza kuchukua maamuz magumu kama haya big up Cdm ndio maana nakipenda chama hiki bureeeee waiiiiiiiiiii
Back
Top Bottom