Recent content by dally dally

  1. D

    JamiiForums Tanzania Masomo gani yalikuwa magumu chuoni lakini ukafaulu?

    Physiology ( cardiorespiratory)
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Old Moshi high school

    U ww unaweza kuwa Emmanuel Modest 2003/2005
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

    Hata Dar unaweza kutumia hiyo ROCKET si kuna majumba??
  4. D

    JamiiForums Tanzania M’kiti atupwa jela miezi sita kwa ‘kumtwanga’ daktari

    Shame on u madactari hawaangalii chama bali mgonjwa na tunawasadia hata wasio na pesa kabisa. Wewe politics zinakuharibu Freeland
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msichana ajifungulia chooni katika Hospitali ya Amana

    Why wengi humu huchangia on negative side? Unajua udactari ni wito idadi ya madactari na manesi ni ndogo, kuna anaefanya kazi bush peke yake anaingia kazini asubuhi alafu wakati anatoka anakuja mzazi anakaanae mpaka saa tisa usiku kesho asubuhi kazini hakuna posho watu kama vile hamjui kila siku...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    kumbe unaweza vaa nguo za chama siku ya kura!!!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Vijana wasio na ajira vs wakuu wa mikoa

    tz hapa hapa hakuna mashamba? Foolish unataka akakufyekee nani nenda iringa kalime ufuta huko kuna mashamba eka 5000-10000
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Binadamu ni mwoga sana wa kufa so walokole wanatumia hiyo chance kujifanya wanawaombea wafike salama but ni kero sana
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    tumia akili mbona hawaendi misikitini?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    sio ustaarabu kuhubiri na kuomba sadaka kwenye basi coz wanaosafiri ni dini zote
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa Afariki hospitali Sinza Palestina kwa kukosa dripu ya MAJI

    Wagonjwa wanafikiri madripu ya maji wahudumu wanachota bombani kumbe ni serikali inapaswa kuyaleta,
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa hospital ya Butimba Nyamagana wagoma

    Bila vitendea kazi dactari au nesi atakushauri tu, let say haspitali gloves zimeisha coz zililetwa chache so unategemea mama atazalishwaje? Serikali inabidi wasupply vitendea kazi vya kutosha
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa Afariki hospitali Sinza Palestina kwa kukosa dripu ya MAJI

    Kama aliiagiza na serikali haikuleta ulitaka Dr. Au nurse atoa wapi?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu anachat mda wote

    Kaa na simu yake siku 3 utapata jibu ikiwezekana tumia simu yake utume sms kwenye namba unazozitilia shaka tuma sms inayosomeka MAMBO?
  15. D

    JamiiForums Tanzania The so called 'GOD' from religions

    myself l believe da presence of God. But your brain must think who create god
Back
Top Bottom