Dogo mkali wewe hakuna kitu alichoharibu ,,yaan mech tu je wale waliokuwa CCM mbona bado mnawasapoti na mmeshasahau kabisa ,,, kuwa msanii hakumfanyi asiweze kuchagua anachokipenda
Nafikiri uandishi Wang sio inshu sana ikiwa tiari umeshaelewa , kuhusu kujitambulisha kwao ndio nipo mbioni kufanya hivyo japo wazaz wake wake wananielewa kuwa mimi ndio baba mtoto
Ni miezi kadhaa zmeisha sasa tangu nianze kudate na huyu bidada " stori inaanzia hapa nakumbuka niliwahi kuleta topic flani hapa ya kuhusu kupata mtoto mapema kabla age haijasogea sana.. but, tatizo likawa kwa mtu ambaye nilikuwa Nina mahusiano naye " ( Hakuwa tayari kupata mtoto kwa Mda huo ...
Pole sana kwan kuondoka kwa mama dunia hii n kama umebak mwenyewe .... hayupo ambaye atakuwa na moyo kama wa mama ,, tuwapende mama zetu ingali wakiwa hai na tuwaheshimu siku zote .... Mm kwang mung hata akininyima utajiri ni sawa imradi tu amenipa zawadi iliyo bora na wala haiishiwi thaman sku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.