dalloboy
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 314
- 246
Ni miezi kadhaa zmeisha sasa tangu nianze kudate na huyu bidada " stori inaanzia hapa nakumbuka niliwahi kuleta topic flani hapa ya kuhusu kupata mtoto mapema kabla age haijasogea sana.. but, tatizo likawa kwa mtu ambaye nilikuwa Nina mahusiano naye " ( Hakuwa tayari kupata mtoto kwa Mda huo , sababu akadai kuwa bado hajatimiza ndoto zake) Nikaona isiwe shida kila mmoja achukue 50 zake .... Basi nikaanza kutafuta kwa aliye tiari ila nikiwa na kitu kimoja kichwani" kwamba siwezi tena kuwa na msichana ambaye atakuwa chini ya 25 years , maana hao ni wasumbufu tu wanakuwa hawana msimamo, basi nikampata mdada flan hivi mzuri mzuri, nikamuapproach jibu likawa Yes, ila alikuwa na mshikaji wake,but walikuwa wametibuana so nafkiri hiyo ndo ilikuwa njia rahisi ya kunikubali haraka... Basi maisha yakaendelea na huyo jamaa ake akaja kufungwa sjui ni nn kilitokea mpaka akawekwa lupango, nafikiri anajua mwenyewe alichokifanya mpaka ikawa hivyo, Kwetu mapenzi yakaendelea na nikamwambia nia yangu ya kutaka mtoto bahati nzuri akanielewa baada ya miez 2 kitu kikajaa upendo kwake ukaongezeka maradufu, tumeendelea hivyo muda Wa kutoka mshikaji ukafika akawa ametoka , alivyotoka akawa amepata habari kuwa bibie ana mshikaji mwingine na wameshakaribia kupata mtoto , Acha alete varangati et akadai siku atakayoniona basi ndo utakuwa ndo mwisho wa maisha yangu , nashangaa siku moja tumekutananae wala hakufanya chochote badae nikaja kuskia maneno et siku nikiingia kwenye 18 zake ataniteketeza vibaya , hapo akamfata mama kija wangu ila mama kija Wang nae mbabe akamwambia kuwa hamtaki na wala hataki kumsikia , ila jamaa akadai et mm ndo atanifanyia kitu kibaya , Jaman mwenye ushauri au ambaye alishapitia haya nahitaji msaada wenu saana ......... NB: huyu jamaa ana makundi ya wahuni wengi ndicho nachohofia ila pia sioni noma kufa kishujaa ... Nimemalizaaaaaa