Recent content by Dalailama

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kuvusha gari kutoka Zanzibar kuja Dar

    Wadau nikitaka kununua Gari toka Zanzibar ntalazimika kulipia kiasiki gn km ushuru pamoja na registration ya namba za huku bara?...hapa pia naona kunachangamoto ya kisiasa jamuhuri moja plate number tofauti?!!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Mke wa Rais na Mtoto wa Rais wanapata "natural" benefits . hili si jambo la kuhoji..
  3. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Kuna maana gn basi kuwa mtoto wa Rais na kusotea madaladala?! Nashauri acha dogo ale bata na ikiwezekana hako kachumba cha chuo akatumie kwa kupumzika tu mchana.Mfumo wa maisha yetu ni wa kibepari na si kijamaa tena hakuna sababu ya kutokwa povu kisa mtoto wa Rais kapanda VX. Tena ingekuwa mm...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahindi wamehodhi nyumba katikati ya jiji?

    waache wakae wabongo watafugia wapi kuku na bata ghorofani...nenda maghorofani uone vituko vya wabongo .....
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wakristo Wenzangu Hivi Kumchezea Mungu Ndombolo, Sebene Na Kwaito Alituagiza?

    wenyewe wanadai "ndomboro" ni ya Mungu shetani hajui burudani kaiga kaharibu.!!!! kuna kazi sana kuwabadiri mtazamo huu.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo haina majina ya waliochukua mikopo

    Umekopeshwa.... lipa deni suala la majina halikuhusu na mbaya zaidi una shauri na wengine eti wasilipe !? Defaulter wahed!!! Fikra hizi ni mbaya mdau kwanza hujui watu wangapi wataathirika na thread km hii mbaya zaidi huna data ni majina mangapi yamepote pili vyuo vyote vinavyopokea fungu toka...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya benki inatumika kishirikina na hailipiki hadi wakufilisi

    RIBA ilisha laaniwa ukifirisika usiulize chanzo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

    Basi anapoteza muda hana maana kabisa mm nilidhani anaweza kupiga mzigo wote ...Asante kaka
  9. D

    JamiiForums Tanzania Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

    hapo ndipo kuliwa kunapokuja...anaweza kufanyia nn ?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

    asante wadau nadhani sijaliwa bado..
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    asante Mshana @ LEGE popote ulipo tafadhali...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

    Wana jamii ningepanda kujua maana halisi ya chuma ulete kwani zaidi najua mtu anaye weza kuchukua hasa pesa kwa ki mazingira ndio huita chuma ulete. kuna siku jamaa mmoja alinikuta nanunua bidhaa duka ni a kaja kwangu na kuniomba shilingi Mia moja . nilikuwa na kiasi cha shilingi kadhaa mkononi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

    watu wa food science mnatuchanganya walqji bana kila kitu sumu sasa tule nn ? noah!?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu anayeitwa Rashidi Mshana

    m copy mshana Jr tafadhali..huenda ni uko mmoja..anamjua!.
Back
Top Bottom