Recent content by dala dala

  1. D

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Umeme ni kitanzi kwa wachimbaji Songwe

    Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi cha kushindwa kabisa kufanya uzalishaji wa Dhahabu. Vile vile, kukatika kwa umeme na low voltage...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Vitu gani kwa wanaume uongeza wingi wa manii

    Kwa msaada zaidi fuatilia anachokula Pundamilia maana ndio mnyama mwenye manii nyingi zaidi ukiringanisha na wanyama woooote wa nchi kavu,
  3. D

    JamiiForums Tanzania Fastjet boresheni kitengo chenu cha huduma kwa wateja

    Nasikitika sana kueleza kuwa Kitengo cha Huduma kwa Mteja au Customer Care FASTJET hakitoi hutuma bora kwa wateja. Leo nimepiga simu yao na ikapokelewa lakini majibu niliyokuwa napewa na Mhudumu (Binti) sio kabisa. Anaongea kama kalazimishwa na anakuwa mkali kama vile anaongea na houseboy wake...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wadhifa mpya wa mheshimiwa Edward N. Lowassa

    Ni mtazamo wako ndugu. Kila mtu kajaliwa ubongo wake. Kuna wanao ona mambo kwa upeo mpana hawa wanaitwa Great Thinkers na pia kuna Myopic minds ambazo wao hufikiri juu juu tu. Sikuchagulii kundi ila tafakari.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wadhifa mpya wa mheshimiwa Edward N. Lowassa

    Sina lengo la kutafuta umaarufu kwa kumzungumzia mtu ambaye kwa sasa anaonekana kuwa maarufu zaidi nchini Tanzania. Ana mvuto wa pekee na kajijengea heshima kubwa katika jamii. Anakubalika kila eneo. Bara na Visiwani; Wakristo na Waislamu, Wenye kumcha Mungu na Wapagani; Wazee na Vijana; Wanaume...
  6. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA mtumieni mama Regina Lowassa kwa namna hii

    Vyovyote itakavyokuwa, ningefurahi kumwona Bungeni Mama yetu Mpendwa sana Regina Lowassa. Ninaomba sana Mhe. Mbowe vile viti maalum vya Ubunge wa Kuteuliwa, tafadhali sana kimojawapo apewe mama yetu Regina. Endapo Mhe. Lowassa akishinda kiti cha Urais hiyo itakuwa habari nyingine. Nina kila...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jangwani, Dar: Mkutano wa kuhitimisha Kampeni za mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli

    Vyovyote itakavyokuwa nadhani kesho LOWASA atakuwa na Mkutano wa Kihistoria kwa Jiji la Dar es Salaam. Hili lipo wazi, kwa namna yeyote kesho nguvu ya Edward itadhihilika na kuwatetemesha sana mahasimu wake kisiasa. Kila la heri CCM na mkutano wenu wa leo hapo Jangwani.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Serikali ya awamu ya tano

    Ninapenda niwashukuru kwa michango mizuri ambayo mmeendelea kuiweka katika Mada hii. Nimepitia michango yenu yote ambayo mingi inalenga kuboresha zaidi. Ninakubaliana kabisa kuhusu uwepo wa WIZARA YA MAMBO YA NJE. Nadhani hii sasa itafanya Wizara zifike 16. Hatuna sababu yeyote ya kuwa na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Serikali ya awamu ya tano

    Punjab; Wizara ya Michezo, Utamaduni na Sanaa (Of course nimeambiwa tuongeze na Habari) ni muhimu sana. Hii ndio yenye kutambulisha utaifa wetu. Taifa lisilokuwa na utamaduni wake na kuuenzi ni sawa na taifa MFU. Nadhani ipo haja ya kuendelea kuwa na Wizara hii.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Muundo wa Serikali ya awamu ya tano

    Habari yenu Watanzania wenzangu, Kila jambo na wakati wake kwa majira yake. Uchaguzi Mkuu unafanyika Oktoba, 2015 siku ya Jumapili. Si rahisi kubashiri nani ataibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha Urais pengine tusubiri kuona nini kitatokea. Mara baada ya tarehe 25 Oktoba tutakuwa na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

    Zinaitwa Kampeni, na katika Kampeni za Kisiasa kuna njia kuu nne za kuwafikia wapiga kura ambazo ni; 1. Kukutana na wapiga kura moja kwa moja yaani Direct Voters Contact (DVC) kupitia Mikutano ya hadhara (Impact ni Ndogo kwa maana ya kuwafikia wapiga kura wachache) 2. Vipeperushi na machapisho...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kinachomponza Lowassa ni hiki, ila yeye ndiye kiongozi bora zaidi kwa sasa

    Mkishindwa kwa hoja mnakimbilia matusi. Hilo halijanikasirisha labda jaribu tusi jingine. Nimekusamehe kwani hujui uendako wala utokako.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kinachomponza Lowassa ni hiki, ila yeye ndiye kiongozi bora zaidi kwa sasa

    Ana hulka ya ukimya na kutopenda kupayuka payuka kama ilivyo kawaida ya Wanasiasa wengi hapa nchini mf Mzee wa Mihogo. Anajua nini cha kuzungumza kwa wakati muafaka. Kama angeamua kujibu kila linalosemwa juu yake nadhani dakika 1440 zilizopo ndani ya siku angezitumia kujibu shutuma dhidi yake...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nitadhibiti rushwa kwa siku 100

    Lowassa anasifika kusimamia anachokiamini. Mimi sina shaka hata kidogo kwamba chini ya uongozi wake tutashuhudia TANZANIA MPYA tuitakayo. Anajua shida ya nchi hii. KURA yangu kwa LOWASSA, na wale wote wenye mapenzi mema tufanye hivyo na zaidi sana tumtafutie kura kwa watu wengine. Achaneni na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania IPP Media na Kuangalia Fursa kupitia ITV, Radio One na Magazeti yao

    Kama wamelaaniwa vile. hali ni hivyo hivyo TBC na StarTel. Yaani imebidi nizime tu Luninga. Aibu kabisa. Ovyo sana. Hata wafanye hujuma hizo sisi tumeamua wapi tunapeleka kura zetu. Sina wendawazimu kuipigia kura ccm wakti tunashindwa kufanya uzalishaji mali kisa UMEME unaletwa saa sita usiku na...
Back
Top Bottom