Sitafuti watu waliokata tamaa na maisha, natafuta watu wenye kujihusisha na kazi ambazo wengi wetu hatujui kama zipo na hata kama tunajua ila kuna vitu ambavyo tungepata kujua zaidi kutoka kwao.
Nimetoa mfano sehemu kwa sasa Tanzania inaendelea kupata wafugaji wa mende. Najua wewe au mtu...
Jambo la kipekee ni lile ambalo ukiliona lazima litakuacha na mshangao kidogo. Kuna kipofu mmoja nasikia anashona nguo huyu mtu anafanya jambo la kipekee. Nazungumzia masuala ya aina hii.
Wajasiriamali wanaofuga mende wameanza kujaa Tanzania, huu ufugaji wa mende jamii inatamani kujua una...
Nitoe shukrani kwa wote mliopata kuweka michango yenu kwenye huu uzi. Japo nimesikitika kwa jinsi ambavyo tumebeba kila kitu katika mzaha ambao mwisho wa siku hauna msaada wowote kwetu.
Nina nafasi ya kuinua mtu kwa kumsaidia kutangaza kile ambacho anafanya tena bure BILA HATA KUNIPA SENTI...
Mimi ni Daktari wa Meno, nafanya kazi usafi majumbani kwa watu, nimeanza shughuli hii yapata miaka 7 na ninahudumia familia ya watoto 4 na wategemezi wengine 7.
(Nitakusaidia kutangaza kazi yako ila iwe ya kipekee)
Habarini,
Nina imani hamjambo, leo ninataka kushika mkono watu kadhaa ambao nitavutiwa na kile ambacho wanakifanya.
Kama unaamini kazi/shughuli unayofanya ina upekee na jamii itapata kujifunza kupitia kazi yako unayofanya basi naomba uelezee kwa ufupi aina ya kazi unayofanya (huenda usiwe wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.