Badala ya kulaumu majambazi unamlaumu rais! Chuki zenu kwa mama Samia zitaisha lini? Unataka kutuaminisha kipindi cha huyo mjomba wako uhalifu haukuwepo? Roma, Mo Dewij na matukio ya maiti kuokotwa kwenye viroba ni kipindi cha utawala upi vile? Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu nalo hukumbuki...
Kama ni wa kiume itakuwa ni uzembe flan hv. Iko hivi, katika hali ya kunyanyasika, mwanaume anayejua uchungu wa maisha huweza kuyaanza mapambano ya maisha hata kwa mtani wa elfu kumi.
Cha mhimu asibague kazi, ajitahidi kuwa mwenye tabia nzuri ili asiwe kero kwa wengine na zaidi ya yote amuombe...
Kwa jinsi ulivyoandika kwa tone ya kulalamika, inaonekana wewe ni binti. Manyanyaso yakizidi tafuta limjamaa muanze kuyajenga maisha mdogo mdogo. Beleave me! UTAKUJA KUNISHUKURU.[emoji1787][emoji1787]
Taratibu muumini wa uzima na ufufuko. Chanjo ni mhimu endapo itaonekana balaa limezidi. WHO ndo chombo pekee kitakachothibitisha ama chanjo itumike au isitumike. Binafsi nitachanjwa bira shuruti, kabla ya kuchanjwa nitaacha maelekezo kwa ndugu zangu juu ya uwezo wa bishop Gwajima wa kufufua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.