Ndio. Kubadili dini kwa mmoja wa wanandoa ni kigezo kimojawapo kisheria kinachopelekea mahakama kuvunja ndoa.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Madhara yapo.
1. Let say Bro wako sasa anaamua anataka kufunga ndoa ya kikristo/kiserikali huyo mama watoto anaweza kuweka zuio hivyo ita-delay mchakato au kupelekea huyo bi harusi mtarajiwa na yeye kughafilika na kukataa kabisa kuolewa.
2. Kuhusu talaka. Kisheria talaka hutolewa inapokuwepo...
Kwanza kabisa, kwa nini kamati itoe ufafanuzi? Simply means ni kweli uamuzi wake haueleweki na kweli kwamba hoja za Lissu zina mashiko. Kama kamati ina uhakika kuwa ilifuata utaratibu na imempa Lissu haki ya rufaa ilitakiwa ikae kimya isubiri reaction ya Lissu ione kama anapeleka rufaa, au...
Na hapa ndio tutaelewa kwanini watuhumiwa waliambiwa kuandika barua peke yako na sio kupitia wakili. Hii maana yake nakala zote zilipelekwa ofisi ya DPP hivyo hakuna uthibitisho ni wangapi walikiri.
culture gal,
In my opinion this LGBT thing is a dilemma between human rights and morals. And i do not think that a legal document in whatever name, be it a law, declaration or order surpass moral values.
Ki
Kimsingi hapa hapakuhitaji ufafanuzi wa magereza. Wangetuwekea hiyo amri ya mahakama tuione. Maana hata huo ufafanuzi haulezi hiyo" community service" ataifanyia wapi
Hongera kijana kwa kuwa mkweli. Potezea hao walio- kudis kwani wengi ni young lawyers kama wewe ila wanajitia ujuaji.
Ushauri wangu ukipata ajira kwenye law firm piga kazi kwelikweli show your full potential ili iwe rahisi kupanda from an employee to an Associate patner and eventually kuwa...
Kama mkataba huo umeingia hapa nchini TZ sheria inayohusika na maswala ya ajira ni EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS ACT. Hivyo kama hakuna clause kwenye mkataba inaekeza jinsi ya muajiriwa ku-terminate employment agreement basi rejea kwenye sheria . Na mojawapo ya njia hizo ni kutoa notice hata...
Kwa shule nyingi binafsi wamiliki wanajihusisha moja kwa moja na mambo/shughuli za kila siku zinazoendelea hapo shuleni. Inawezekana kabisa ndiye aliyependekeza gari iliyopata ajali ndiyo ibebe watoto siku hiyo. Na katika mazingira ambapo dereva amefariki then ni vema mmliki ahojiwe ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.