Recent content by Dafo

  1. Dafo

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu unawatesa watoto wenye umri chini ya miaka 10

    Inawezekana kabisa ni scabies ni vyema mtoto apelekwe kituo cha afya atapewe dawa ya kupaka na kumeza
  2. Dafo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki Carry for sale

    Asante nimerekebisha Mkuu
  3. Dafo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki Carry for sale

    SUZUKI CARRY FOR SALE Year: 1996 Engine Size: 650cc Fuel: Petrol Mileage: 53,000km Transmission: Manual (5 gears) Usage: Private Service : Well maintained Price: 8.5 Million Contact: 0786647564 (Owner) Location: Kigamboni- DSM
  4. Dafo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tafsiri ya warning light hii kwenye Suzuki Carry (Kirikuu)

    Asante Mkuu, gari ni ya mwaka 1996.
  5. Dafo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tafsiri ya warning light hii kwenye Suzuki Carry (Kirikuu)

    Wakuu habari za asubuhi, Tafadhali naomba msaada nilikuwa naendesha Suzuki Carry (kirikuu) lakini ghafla ikawasha hiyo warning light kwenye dashboard. tafadhali naomba kuelewa hiyo taa inamaanisha shida iko eneo gani au shida ni nini kabla sijaenda kwa mafundi wetu?
  6. Dafo

    JamiiForums Tanzania Ofisi za DHL kwa Dar es Salaam ziko wapi?

    Wana ofisi pia posta ile jirani na holiday inn
  7. Dafo

    JamiiForums Tanzania Mwili wangu unatoa umeme?

    Mwili wa binadamu uwa unazalisha chaji(static electric) ambazo hupelekea hali kama hiyo kutokea unapogusa vitu vya aina hiyo.Ndio maana kwenye mazingira ya kazi kama Gas Plants moja ya safety procedure kabla hujafanya maintenance uwa kuna kifaa unatakiwa ukishike kwa ajili ya kutoa chaji zote...
  8. Dafo

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya nimesikia, nimeambiwa, nimeona kwenye TV ndo yanayotugharimu

    Ujasiriamali ni dhana ambayo misingi yake mikuu ni kujifunza kila leo,kupenda unachofanya,uvumilivu wa kusubiri matokeo na ubunifu.Katika nyakati za sasa watu wamekuwa wakiingiza kwenye shughuli za uzalishaji mali kwa dhana ya ujasiriamali wakati wakitaraji mafanikio makubwa kwa muda...
  9. Dafo

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nyalandu yuko wapi?

    AV
  10. Dafo

    JamiiForums Tanzania Bei ya Water pump Ndogo (Manual)

    Liverpool kama niko kimanzichana mkuranga gharama ya survey ni kiasi gani? Kwa mita utachimba kwa kiasi gani?
  11. Dafo

    JamiiForums Tanzania Azam TV inapeta, wengine wanachechemea

    Kiukweli azam tv wako vizuri sana ila waangalie kitengo cha huduma kwa wateja (customer care) kwa kweli huku wale wapokea simu suala la weledi wa kuongea na mteja bado haujakaa sawa.
  12. Dafo

    JamiiForums Tanzania Pika supu ya kongoro namna hii

    Nini kinafanya inakuwa ya njano hvyo mkuu??
  13. Dafo

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufunga ndoa, mwezi mmoja baadae anaenda masomoni UK

    Mkuu utaratibu wa kupata visa ni kuwa na documents sahihi kwa aina ya visa unayoomba.kwa vile mdau umesema amepata sholarship yeye hana tatizo kwa sababu documents zitaonyesha anaweza kumudu maisha ya UK.Ishu ya pili ni jinsi gani mke wake anaweza pata visa ya kwenda na mume wake.hapo atatakiwa...
  14. Dafo

    JamiiForums Tanzania Mini laptop inatafutwa

    ipo samsung nyeusi,details nyingine zipo kama ulivyotaja.nicheck kwenye 0653685339.shukrani
Back
Top Bottom