Recent content by dafity

  1. dafity

    JamiiForums Tanzania Done your proper research?! Kingereza cha ugoko cha Bashite

    Ata enjoy "WEZA" nzuri
  2. dafity

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia soko la Dunia la Helium baada ya kusaini mkataba na mwekezaji Helium One Global. Serikali itamiliki hisa asilimia 17 tu

    Hapo mwekezaji ana 45%, Serkali 17%, wapigaji hizo % zilizobaki
  3. dafity

    JamiiForums Tanzania Leo Simba ana uwezekano Mkubwa sana wa kushinda, nitawachambulia kwanini,

    Labda kwa penalties mwisho wa mchezo
  4. dafity

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Hii ya kushea resume kwa WhatsApp Huwa naiogopa sana
  5. dafity

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

    Mu Israel yupi kauwawa?
  6. dafity

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

    Soon na yeye atakukamata wakutatue marinda na video zako zitasambaa online
  7. dafity

    JamiiForums Tanzania Chakuwaambia tu Watanzania Yanga ni mbovu kama hujakutana nayo..usiombe ukutane nao - Masao Bwire

    Ni MKWELI SANA huyu ndugu
  8. dafity

    JamiiForums Tanzania Freewill yenye adhabu baadae hiyo sio Freewill huru, Huo ni mtego. Uhuru na hiyari kamili havipaswi kuwa na shuruti, shinikizo wala adhabu

    Pumzi si anakupa Yeye? Sasa akikupangia uishije kuna shida Gani?
  9. dafity

    JamiiForums Tanzania Jua kali...!

    New York wanalihitaji sana hilo JUA. Jana wamekufa wa 18 kwa baridi Kali.
  10. dafity

    JamiiForums Tanzania Breaking news Kanisa la Wasabato Kenya lawatimua kazi Wachungaji 19 kwa madai ya kwenda kinyume na mafundisho ya kanisa ikiwamo Utatu Mtakatifu

    Wasabato ni ANTICHRIST. Yesu Kristo alipoagiza watu wabatizwe kwa jina la Baba, MWANA na ROHO Mtakatifu kwani huo sio UTATU MTAKATIFU? Ni upumbavu kudhani kila mapokeo hayampendezi Mungu.
  11. dafity

    JamiiForums Tanzania Mada ya kitimoto: Nyama inayajadiliwa na kutawaka mijadala mingi duniani

    Nguruwe waliona Bora wafe kuliko kukaa na majini LAKINI nyie mnayafuga MAJINI. Je ninyi na Nguruwe huoni Nguruwe WANA AKILI ZAIDI KULIKO NINYI?
  12. dafity

    JamiiForums Tanzania NMB kuchaji zaidi ya shilingi 5,000 kwa huduma ya Bank Statement ni sahihi?

    Mwisho wa Financial Year wakisema wamepata faida Billion 300 ndio ujue zinatoka kwenu wateja
  13. dafity

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu na matajiri hawaangushwi na mapepo?

    Bora hayo yanayo waangusha maana yanakemewa na KUTOKA. Hayo yasiyo waangusha kwa USTAARABU BANDIA ndio yanawafanya wawe na ROHO MBAYA wengine mpaka WANAJIUA. Au wazungu na matajiri HAWAJIUI?
Back
Top Bottom