Mkuu tafuta kazi ya kukuingizia kipato.Muda unaopoteza hapa JF kuandika propaganda utaukumbuka uzeeni
Hakuna atakayekulipa pension kwa kushinda JF uzeeni,Fanya kazi
Acha ujinga,Hakuna mambo ya vizazi vya millenial au Gen Z Tanzania.Huo ni mfumo wa Marekani na watu wake pamoja na baadhi ya nchi za ulaya
Mfano vizazi vya Marekani na ulaya vilivyoshiriki vita kuu ya pili ya dunia vilivyorudi toka vitani walirudi na pesa wakaanza kula bata na maisha ya kuzaa...
Prof Assad anasema yeye akiwa university kama mwalimu alilipwa 4million baada ya kupata UCAG ikaongezeka 700k yaani total Gross CAG ni 4.7M
Net pay ni 3.3milion
Maximum salary kwenye Government ni TZS ngapi ? Kwa directors
Mwenye updated information za salary scales mpya ,Please share
Kama...
Mwenye PDF au Excell inayoonyesha scale za mishahara za serikali na taasisi zake ,Please share
Nimeshangaa CAG anasema mshahara wake ni 4 .7M
Pia range ya mishahara ya Directors wa taasisi
Umri mkuu.
Umri ukifika mambo mengi unaona ni utoto hasa kujibishana hapa JF
Hata mitoko inapungua inafika muda hata vinywaji unakunywa nyumbani na familia badala ya bar
Kila kitu na wakati wake yawezekana amefika maturity age ni umri wa kujitambua unajikuta unathamini familia zaidi kuliko...
Mtaalamu wa kubisha ,Mkuu umesomea kubisha
Kuna makabila hapa Tanzania wao ni kubisha tu ,Mkuu wewe ni muha wa kigoma?
Waha wa kigoma wana tabia kama zako,Wao ni kubisha tu
Kuna muda huwa nasoma unachoandika na kuona haupo ok kichwani ,Ni kama dishi limeyumba hivi au ndio mambo ya...
Ok
ROMA LOCUTA CAUSA FINITA huu ndio msimamo wa wakatoliki ,Papa akiongea au Askofu mkuu akiongea hakuna muumini wa kupinga
Ukipinga wewe hama nenda kaanzishe kanisa lako ,Hakuna kubembelezana katoliki
Father kitima ni katibu wa TEC,msimamo wa TEC ndio msimamo wa kanisa
Hujui maana ya kanisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.