Chief Justice, this is not fair! Lissu ameteseka sana gerezani, why postpone his case? Muamue moja mnaloona linamfaa

Chief Justice, this is not fair! Lissu ameteseka sana gerezani, why postpone his case? Muamue moja mnaloona linamfaa

Masaju ni jaji wa wanamtandao kama ilivyokua kwa Chande, huyu ni zao la mwanamtandao JK kutoka enzi zile kama AG , ni vyema watu tupate katiba mpya nafasi ya CJ isiwe appointment bali merit based badala ya mtindo wa kufanya recycling ya takataka tukiamini tutapata end product bora bila proper vetting.

Hivyo ni kidampa anayepokea order kutoka kwa wanamtandao.

Wenzetu hizi nafasi hutangazwa wazi na usaili wake huwa wazi pia.
View attachment 3605244
Nchi kama Kenya , judiciary huwezi kukuta inaburuzwa hivi.
Tatizo la Tanzania uhuni umetamalaki. Judicial Service Commission inaweza kujazwa commissioners ambao ni kazi maalumu. Matokeo yake, kazi ya CJ anapewa mtu ambaye ni chaguo la mtawala. Nchi inaishia kupata CJ kazi maalumu!
 
Kitendo cha Magufuli kuwapitisha wakuu wa mikoa kama walezi wa mahakama tayari ni mahakama zilikua zimeshatiwa pingu.

Mkuu wa mkoa ni sharti awe kada wa CCM na mteule wa mwenyekiti wa CCM je atakaidi amri hata kama ni haramu?
 
Ni vema mkamhukumu mnavyoona/ mnavyopenda kuliko haya mateso mnayompa.

Ajue moja, ananyongwa au anafungwa au anaachiwa.

Mwamwindi wa Iringa, aliamua moja akalitimiza, akamuua Kleruu na Mwalimu Nyerere akaamua moja akamnyonga. Nanyi amua moja mlitimize.

Why postpone his case?
Atakiwasha hahahhahaha
USSR
 
hakuna haja ya kua na kiherehere dhidi ya uhuru wa mahakama za Tanzania.

ulikua wapi kumshauri huyo mtuhumiwa unaedai anapewa mateso asifanye makosa yanayokiuka sheria na katiba ya nchi?
acheni unafiki nonsense jukwaani :NoGodNo:
Mkuu uwe na akiba ya maneno,Usijimalize sana

Maisha ni safari kuna wakati unaweza jikuta yamekufika
 
Mkuu uwe na akiba ya maneno,Usijimalize sana

Maisha ni safari kuna wakati unaweza jikuta yamekufika
kwamba maoni na mtazamo wangu huru juu ya mambo mbalimbali humu jukwaani nibaki nayo chumbani kwangu right?
maisha hayana extra time, kwani kuna asie jua hili? :NoGodNo:
 
Kitendo cha Magufuli kuwapitisha wakuu wa mikoa kama walezi wa mahakama tayari ni mahakama zilikua zimeshatiwa pingu.

Mkuu wa mkoa ni sharti awe kada wa CCM na mteule wa mwenyekiti wa CCM je atakaidi amri hata kama ni haramu?
Tunahitaji comprehensive reform!
 
Konachonifuraisha ni kwamba Lissu halegei Wala hatokegea abadani ni km Bob Marley baada ya lile tukio la kupigwa risasi 1976 lkn akatokea kwenye concert na wimbo ambush in the night!
 
Konachonifuraisha ni kwamba Lissu halegei Wala hatokegea abadani ni km Bob Marley baada ya lile tukio la kupigwa risasi 1976 lkn akatokea kwenye concert na wimbo ambush in the night!
Lissu ana Roho ngumu sana anazidi kunenepanna kung'aa au na yeye anatuzuga
 
Dhoruba anayoipitia TAL itapita, wakati utafika kutatulia.
 
Back
Top Bottom