Recent content by dadii2

  1. dadii2

    JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako akikublock namba yako ndio inamaanisha nini?

    Acha ufala wewe! Hapo game over!
  2. dadii2

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Magu kashachoka maana hatuoni tena ziara za kustukiza!
  3. dadii2

    JamiiForums Tanzania Kudhalilishana tu

    Fix tu
  4. dadii2

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Uhakiki mdogo umeshabaini watumishi hewa 1,680 Serikalini!

    Mnalalamika tu Hata wewe mbona ni jipu
  5. dadii2

    JamiiForums Tanzania Bei ya mkate Zimbabwe ikoje?

    Mkate Laki tatu
  6. dadii2

    JamiiForums Tanzania Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    Wema yupo sawa
  7. dadii2

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 ni.kitu gani kimekugurahisha na kipi kimekukera sana

    Kilichonifurahisha sn ni kikwete sio raising tena. Na kinachonihuzunisha sn ni ccm kuendelea kuitawala Tanzania. Yaani sina hamu
  8. dadii2

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa Dr. Magufuli wanasoma shule za kata?

    Sio mwaminifu. Km aliapa kiapo cha ndoa naAakamsaliti mke akazaa na Nyumba ndogo na kuhamia huko je? Akipata demu mwingine s atahama ikulu! Na kusaliti kiapo cha uraisi? Na kwa mujibu wa Mtikila, alihonga Nyumba ya serekali kwa Malaya wake. Je sasa sio yuleyule?
  9. dadii2

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa Dr. Magufuli wanasoma shule za kata?

    Msidanganywe hata mtoto wa diwani wako hasomi kata. Kuna jambo zito nyuma ya pazia. Kuweni na uweledi wa kifikra! Huyu jamaa ni waziri miaka 20 na watoto wanaungaunga elimu huoni kuna jambo hapo? Watu wake wa nyumbani wanatushangaa watanzania kumpa nchi baba yao. Hakuwaa anajua watoto wanasoma...
  10. dadii2

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa Dr. Magufuli wanasoma shule za kata?

    Aliwatekeleza na mke akawa anawasomesha. Lkn wa Nyumba ndogo wanasoma ulaya
  11. dadii2

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Hata kiwete alianza na maisha bora kwa kila mtanzania. Lkn mnajua kilichotokea. Tatizo ni ccm mfumo. Na mfumo huyo ndio ulomweka kuw raisi. Hana jipya mtasubiri sn.
  12. dadii2

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu Napita kipindi kigumu sana

    Utakuwa umetupiwa jini Fulani hivi, (kombora) nenda kwa mtalamu na km huna mtaalamu nitafute nikupe mawasiliano yake. hiyo ni issue ndogo sn. lkn pole kwa kujaribiwa kimtindo.
  13. dadii2

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo wakosa mikopo, Serikali haina fedha

    Hapo kazi tuu.
  14. dadii2

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Diamond Si alijaza watu
  15. dadii2

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Raisi wa mfukoni. Acha ufala
Back
Top Bottom