POPOBAWAdume
Member
- Dec 30, 2015
- 28
- 16
Mimi binafsi nimefurahishwa na utendaji wa rais Magu na nimekereka kwa kufutwa uchaguzi zanzibari je wewe?
Sawa mkuu lkn sisiemu ndio.kila.kitu ktk siasa za tanzania vyama vyengine huwa vinaishia kutafuta ruzuku tu.Kilichonifurahisha sn ni kikwete sio raising tena. Na kinachonihuzunisha sn ni ccm kuendelea kuitawala Tanzania. Yaani sina hamu
Matokeo ya mchakato wa kumpata mgombea wa CCM kule DOM,na jinsi "wazee"walivyowatuliza wajumbe wa halmashauri kuu waliotaka kuwasha moto baada ya kutokubaliana na matokeo(this was interresting),lkilichoniboa ni yule "bwana mkubwa"aliyekimbilia kwenye media kujitangazia matokeo kule visiwa vya karafuu(this was such a disgusting move)Mimi binafsi nimefurahishwa na utendaji wa rais Magu na nimekereka kwa kufutwa uchaguzi zanzibari je wewe?