Bei ya mkate Zimbabwe ikoje?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
53,673
120,347
Naombeni kujua bei za bidhaa muhimu kama mkate,sukari,mchele,unga,panadol nk,huko Zimbabwe kwa rais Mugabe.Inasemekana bei ni kubwa sana kutokana pesa kushukusha thamani kutokana na vikwazo vya Wazungu.
 
Nasikia ukienda sokoni kununua bidhaa lazima ubebe gunia au sandarusi la noti
 
mugabe anachofanya kila mwisho wa mwezi ukiingia na bidhaa toka south kila kitu visizidi vitano vitano unaingiza free haulipi kodi..na kuns sheris ya Tz ya zamani ukirudishwa bila vibali kutoka nje ni jela au fine...ukiwa na gari toka jozi ukipita Zim wewe nunua mikate tuu ya kutosha ndio rushwa kwa police hata haupiti bila rushwa iwe fedha au soda..maji..
 
njaa ipo sema makali yanapungua kutokana na majirani zake huku south kule botswana..mozambique kidogo na zambia hao wawili wa juu ndiko raia wao wanakoponea njaa...wafanyakazi wa Mugabe wengi wamebaki na hasira tuu..wanapata tabu kaburu katoa vibali vya yyote mzimbabwe kufanya kazi South kwa miaka mitatu tuu kila raia hapo ndio kapunguza njaa..
 
Back
Top Bottom