Recent content by daddymor

  1. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Una moyo wa ziada Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Hatari sana aisee. Hadi naogopa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Naomba kuuliza, kuna wakati nawaza au huja fikra kuwa nimepata kazi au dili fulani ambayo hujiona nimetatua mambo kibaoooo halafu hujisikia nafsi yangu imepata nafuu na kutulia ilhali kiuhalisia mambo magumu kinoma..... Nini maana yake kuwa na hisia kama hizo? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Hii nitaitest Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    JamiiForums Tanzania Malaika kwenye kiwiliwili cha binadamu

    Daaaah inagusa mno...... Waweza toa chozi
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya muujiza 1: Apportation (kutokezesha na kupotezesha kitu)

    Duuuh huu uzi balaa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kongamano kubwa la wachawi kufanyika mwaka huu Tanzania

    Kongamano la wachawi??? Halafu kiingilio bure??? Sasa wenye sifa za kuingia Ni wachawi tu au?? Maudhui ya hilo Kongamano Ni nn?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ujanja na utapeli wa tigo

    Hawa tigo wanazingua sana. Hata ukijiunga Bando bila kuwasha data Ukiangalia Salio la MB Unakuta hamna. Kuna siku nikaenda ofisini kwao kuwaeleza na nikajiunga MB hapo hapo ofisini kwao bila kuwasha data ili waone na wakashuhudia na kukosa maelezo
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

    Asante Mshana kwa elimu hii. Ni-tag ukipost haya maujuzi
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kuzaa nae!

    Nakuja
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Jioe
Back
Top Bottom