Recent content by dada white

  1. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yananiumiza naombeni uzoefu wenu tafadhali

    Kwani wewe upoje? i mean umefanana na zombie kwani mpaka u force kupendwa siku hizi wenzio tumeshagoma kulizwa na upuuzi wa mtu anaekufanyia ushenzy live hivyo.TUPA KULE KULA UJANA TAFUTA MWINGINE SHAULILO.
  2. dada white

    JamiiForums Tanzania Shule za VIPAJI maalum: Nini dhumuni lake hasa?

    Wale ni shule ambazo zilibahatika kuwapata wasomaji na kukesha na wazee wa kuklemu wa wa shule za msingi so haimanishi ni bright kiivyo ndio maana kuna mazezeta tulioenda jangwani na zanaki na shule zingine tunakula maisha kushinda wao.OVER
  3. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa katembea na mama mwenyenumba kimenuka ushauri

    Kivip sasa?
  4. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waulizia dini, kwani wataka kuoa

    uzinifu ni dhambi
  5. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wiki mbili baada ya kubaguliwa rangi, Mwenzao kanasa kwenye penzi kwangu!!ILA...

    Ok baba tumeshajua kama wewe upo nje ha nchi.
  6. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ungekuwa ni wewe mdada ungefanyeje.

    Ningemuachia mungu tu maana sina jinsi
  7. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa katembea na mama mwenyenumba kimenuka ushauri

    fafanua
  8. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimevurugwa sijielewi

    Mmmmmm ila wewe hutaki ndoa kabisa
  9. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimevurugwa sijielewi

    Nasikitika kukupa taarifa kuwa umetolewa posa na MLA VICHWA ila na wewe mbona ni mda mdogo mno mmekaa kusomana.
  10. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejisikia raha sana baada ya kupigwa makofi na mme wangu.

    Sio kweli mi wa Iringa.
  11. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke IQ ndogo na watoto wote ni Mambumbumbu

    Kama hawagongwi na gari za wana IQ ya msingi.
  12. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am calling off the wedding!!!

    Duuu basi tena tutashauri nini huku umeshazira?
  13. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa katembea na mama mwenyenumba kimenuka ushauri

    Wote washenzy tu sioni innocent party kwenye hii case
  14. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejisikia raha sana baada ya kupigwa makofi na mme wangu.

    Nilichogundua kumbe ugomvi mwingine ni chanzo cha kujuana degree za love watu walizopack moyoni?
  15. dada white

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejisikia raha sana baada ya kupigwa makofi na mme wangu.

    Nitaweka ngoja niedit arafu niweke upande wa jicho tu lilipo vimba.
Back
Top Bottom