Recent content by Dad Hash

  1. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nitafute kwa biashara ya Kuku wa mayai wa kufuga mkoani Arusha

    Habari zenu wana JF. Natumai ni wazima wa Afya kwa wale wagonjwa mwenyezi mungu aweze kuwaponya na kuwapa nguvu kama zamani. Nilikuwa naomba msaada wenu mimi kama kijana mwenye uchu wa maendeleo na ninayependa kujikwamua kiuchumi. Nipo arusha na nina project yangu nimeindaa ya ufugaji wa kuku...
  2. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Nmepata hizo newz kaka
  3. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    :D:D:D natakuja kukulinda
  4. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Jaman wadau vipi hizo nafasi ndo zmekuwa adim au Mwaka Huu hazitoki...!!
  5. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    NSamahani nlikuwa naomba kwamba natawezaje kuanza biashara hiyo na process inakuaje kwa sababu naamini ni fursa nzuri kwa upande wangu...!!
  6. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Inaumiza matumbo ila ndo hivo haiwezekani kuforce mkuu..
  7. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Mzigo uko jikoni ngoja wadau waajiriwe kwanza... tuvute subra.
  8. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Mbona kwenye official website ya jkt hawajaweka tangazo
  9. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Ukweli usiopingika
  10. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Haina shida mkuu Ngoja tusubiri mpaka hapo wakati utakapo Wadia...!!
  11. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Nshaangalia huyo jamaa inaonyesha kama akil ziliruka flan hvi
  12. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Kwan walioweza wa nn mpaka tushindwe
  13. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Huenda kuna sabab za wao kuchelewesha ndo mana cha msingi nikusikilizia
  14. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Msiwaze wazee mzigo utatema siku yeyote cha msingi ni kuwa na subra...!!
  15. Dad Hash

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Jaman humu ndani mpo mwezi wa 8 ndo huu hamna mwenye tetesi zozote kuhusu hizo nafasi kama kweli ni mwezi wa 9 wengine tumesitisha mambo mengine kuzisikilizia
Back
Top Bottom