ETI Hii katiba inayotungwa BUNGENI sikatiba ya CHAMA KABISA sio KATIBA YA WANANCHI,,kila nikifuatilia Vipengere vya Rasimu niliyonayo na Vipengele vya Rasimu inayotumika bungeni ni TOFAUTI KABISA,,,inamaana INATUNGWA KATIBA YA WANA CCM TU hata wajumbe wake wako wengi ndani "KATIBA YA CHAMA CHA...