Recent content by Dabby Jr

  1. Dabby Jr

    JamiiForums Tanzania Usiombee kukosa hela

    Uji gani mkuu, si alisema elimu bure
  2. Dabby Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwakuwa hiki ndicho wanawake wanachoringia, sasa mwaka 2020 kukiona cha moto

    Daah kwamba ni miss shantah?!! Chizi Maarifa, Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Dabby Jr

    JamiiForums Tanzania Akiba ya mafuta Marekani iliyofichwa kwenye mapango ya chini

    Evidence au Ya kujitoxheleza taphazari mkuu
  4. Dabby Jr

    JamiiForums Tanzania USA: Hate crimes, Racism and discrimination left more than 250 people dead within 7 month

    Umetaja California mbili mkuu kwenye maandishi yako,hivyo tupe upembuzi yakinifu?
  5. Dabby Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa bila UBABE hawaendi

    Wala hujakosea bidada
  6. Dabby Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka kulipa fadhila kwa wema ninaomuonesha mwanaye

    Sasa mkuu umesema"NB: kwangu lenye tija ni maamuzi ya kusaidia mtoto lakini siwezi kuwasepareti na mamake katika kutoa msaada."Basi mama yake anaomba nae msaada wa genye lake litulizwe na wewe.Kwani si hauwezi kuwaseparate kimsaada?
  7. Dabby Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa bila UBABE hawaendi

    Katika la msingi ambalo nazani nitakupatia ni kuwa"Umeoa warmate and not soulmate "Kila la heri mkuu
  8. Dabby Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale ambao hatujagegedwa mwaka huu tukutane hapa

    Mmmmmm,Nitakuja usijary japo first priority ni economic issue kwanza mengneyo tutajadiri Miss Natafuta
  9. Dabby Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale ambao hatujagegedwa mwaka huu tukutane hapa

    Yawezekana mkuu
  10. Dabby Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale ambao hatujagegedwa mwaka huu tukutane hapa

    Miss Natafuta bana sijui huwa anawaza nini,anyway muda si mrefu nitakuja Dar nikuone.
  11. Dabby Jr

    JamiiForums Tanzania Sandals za Kike na za kiume

    Tena aifafanue zaidi kwa jumla na rejareja
  12. Dabby Jr

    JamiiForums Tanzania Tanga... Kunani pale.?

    Weee mshana Jr kwamba ulikuwa staff member paler?!!acha uongo hebu jaribu kuthibitisha?
  13. Dabby Jr

    JamiiForums Tanzania Tanga... Kunani pale.?

    Prof Kihiyo alitupa paper ngumu kama jiwe,daah sitakaa nisahau
  14. Dabby Jr

    JamiiForums Tanzania Tanga... Kunani pale.?

    Mpaka wajipange vizuri zaidi
  15. Dabby Jr

    JamiiForums Tanzania KUMBE SILAHA ZA MAREKANI HAZINA UJANJA KWA ZILE ZA URUSI.

    Natamani kukuuma,kwa kuwa hujui ulichokiandika
Back
Top Bottom