Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
- Thread starter
- #21
Tafuta nguvu za kiume (pesa).
Atakupigia magoti tu.
Pesa ipo nyingi
Tafuta nguvu za kiume (pesa).
Atakupigia magoti tu.
Pesa ipo nyingi
Mi nashauri aoe wanawake wa zamani, wa siku hizi awaachie mwenyewe. Ni kiherehere chake kupanga ni kuchagua
Wanaume wengi wa kiafrika tunafel sana kuendekeza uzungu kwenye mahusiano ,kiukwel me nakumbuka mzee wangu alikuwa anaheshimika sana na bimkubwa coz mzee alikuwa kati kati sometime romantic mda mwingi cruel, me nimeshuhudia sana bimkubwa akipigwa biti Kali na mzeee na bimkubwa kimya zaid atatafuta njia ya kujikomba kwa mzee hata km mzee ndie mwenye kosa .So nilichogua siku izi ndoa hazidumu sabab ni kwamba hawa viumbe wamepewa sana Uhuru na ndio maana hawaon ajabu kujibizana na mwanaume na hili mitandao imeharibu kila kitu yaan wanajiona wako sawa na mwanaume wakat ukweli ni kwamba mwanaume atabak kuwa mwanaume tu na ndie kichwa cha nyumba,so ili kuwa na ndoa nzur kabla hujaoa jaribu kupima upepo kwa kuwa katikat yaan MTU ambae huelewek sometime unakuwa mkali siriaz muda mwingine romantic ukiona anaendana na hiyo hali oa ,ukiona kibri nakushaur achana nae haraka,yaan mwanamke mnakorofishana anavimba hatak kujishusha wala hashtuki hata kidogo huyo usioe