Recent content by dabaga6

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mtwara; Hotel ambayo mwaka 1 uliopita ilikua lazima ufanye booking leo hii tupo wateja 3 tu

    we jamaa unamaono ya hali ya juu sana.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

    nakushauri mwachishe shule ukae naye home au mpeleke shule za serikali ambapo mwalimu akitaka mchapa Mtoto wako anakupigia simu kukuomba kwanza......
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

    kama ni mifedha unayosema.... basi anaingiza kweli. atakuwa analala chumba kipi akienda kusalimia wazazi wake.....me/ke
  4. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amesema akitoka Arusha anakwenda ziara Mkoa wa Iringa

    ngalarekumtwa ni nooooooooma.....
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tunapoishtaki serikali ughaibuni tumesahau unyonyaji waliotufanyia hao walami?

    Bora nichinjwe na jirani kuliko mtoto wangu..... Maana atabaki na laana kizazi na kizazi....
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wasio na vitambulisho vya uraia kutoruhusiwa kumiliki simu

    NIDA ni gujipu. tumeandikishwa mwenzi wa 11 Arusha mpaka leo hatujapata vitambulisho.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Askofu Munga: Kukamatwa kwa mchungaji juu ya uchochezi haina tofauti walichofanyiwa manabii na Yesu kwa tawala za Dunia

    Usipo heshimu mawazo ya mtu automatically yawezekana unaaina flani ya ubishi hata kwa familia yako....ubongo mgando.... Tuseme basi TEC nao hawajielewi?.... wote wako right way Mbona.. tena wako vizuri sana....
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Kigwangwala inanichekesha sana

    Hawa ndio madaktari bwana. Wakiletewa file la kufanyia operation mguu wao wanapasua kichwa. Mungu samehee tu.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

    Kifikra na kimatendo Lissu anahitajika sana ktk nchi hii. Kama Dr Kilangi anakubalika basi Lissu anakubalika zaidi. Hapa naona walumumba wamewekwa pembeni maana wanadanganya mkulu.... amewashitukia kafuata ukweli....
  10. D

    JamiiForums Tanzania The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.

    Pascal.. nimekuelewa sana. Najiuliza hivi SGR yetu tunalenga RWANDA pekee.. Mungu wangu tutakuwa tumefail.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mnunuzi wa Nyumba au Kiwanja jihadhari, Serikali za Mitaa hawaruhusiwi kusimamia mikataba kisheria

    Uko sawa. Nilimuuliza sasa kwa wenyemikataba ya wenyeviti wanaweza kupeleka kwa mawakili ilikuisatify akachuna mpaka leo.....
  12. D

    JamiiForums Tanzania WAZIRI WA KILIMO

    MHESHIWA; Kukodi shamba eka 1@50,000 Kulima eka 1@50,000 Mbegu eka 1. 1kg@6000×8=48,000 Kupanda eka 1@12,000 Mbolea DAP Mfuko 1@55,000 Palizi eka 1@40,000×2=80,000 Mbolea UREA kukuzia 1@40,000 Mbolea CAN kukuzia 1@40,000 Dawa ya wadudu 1@12,000 Kuvuna 1@15,000 Kupukuchua gunia 20@2,000=40,000...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Utambuzi wa uwepo wa maji kwa kutumia yai na nazi

    Mbona haonyeshi Nazi anajionyesha mwenyewe.....
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mnunuzi wa Nyumba au Kiwanja jihadhari, Serikali za Mitaa hawaruhusiwi kusimamia mikataba kisheria

    Mkuu naomba ufafanuzi: 1. Kama tayari namkataba wa mwenyekiti. Je, naweza peleka kwa wakili akausatify? Au unashauri nini hapo? 2. Mitaani kuna watu wanaitwa Waandishi wa Umma na sio Mawakili. Mbona wana leseni za hiyo kazi wakati sio Mawakili Proffessional? Kwanini serikali inachukua mapato...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule yako ya msingi ili ufahamiane na rafiki uliosoma nao lakini hapa hamujuani

    Nimesoma kamanyora pr school pale congo
Back
Top Bottom