Habarini wana JF, Natumai ninyi ni wazima , naomba msaada kwa anaefahamu methali tano kwa lugha ya kichagga zinazomuhusu mwanamke na maana zake, ASANTENI
Habarini wana JF, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayefanya uchunguzi kuhusu lugha: naombeni msaada wa methali tano kwa lugha ya kichagga zinazomhusu mwanamke na maana zake , ASANTENI
Kwa ninavyojua mtoa post kakosea kwan sex ni mojawapo ya basic need to some people even though sio wote, hivyo bas pale mwili unapokuwa unahitaji ni muhimu kupata na ukiridhika it means unapumzika hadi utakapohitaji tena. Mtoa post acha kabisa mawazo yako
Mimi ni msichana wa miaka 20 nipo Chuo Kikuu mwaka wa kwanza lakini nilitokea kuanzisha mhusiano na Mwanaume nikiwa form three. Nampenda na nimekuwa mwaminifu kwake toka nilivyoanzisha mahusiano naye.
Lakini yeye alikuwa mbele yangu kimasomo na alivyomaliza kidato cha nne hakufanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.