Tujadili tamko la Waziri wa Elimu kuhusu masuala ya udahili

So alye toka form 4na 4yake ata Kama atakomaa apate jpa ya 3.5na zaid hatojiunga na degree??? So painful huu utaratbu utatuumiza weng
 
Wameamuwa kuwaconfuse Watanzania ili kuwagawa msiwe na ajenda moja ya kitaifa kuhusu ugumu wa maisha, hii inaitwa spinning and divert the topic.

Huyu Mama Ndalichako asiwasumbuwe muachieni waislamu watamalizana naye wala asiwasumbuwe akili.

Mjadala wa Kitaifa uwe ni ukali wa maisha na yale maisha bora tuliyoahidiwa yako wapi?

Jiandaeni kusomesha watoto wenu Kenya na Uganda maana Tanzania limeshaingia beef la watawala na watawaliwa.
Dah kaka.
Kumalizana nae kinamna gani
 
Elimu yetu kila mtu anayekuwa waziri wa elimu anaichezea anavyotaka. Hivi waziri huyu hajui kuna equivalent qualification??? Hivi mtu anayesoma certificate + diploma utamnyimaje nafasi ya kwenda kusoma degree?? Waziri wangu hapa kwa mawazo yangu umechemka sana.
nchi hii kula anaekuja anakuja na msahafu wake...tutabadili dini sanaaa....
 
Elimu yetu kila mtu anayekuwa waziri wa elimu anaichezea anavyotaka. Hivi waziri huyu hajui kuna equivalent qualification??? Hivi mtu anayesoma certificate + diploma utamnyimaje nafasi ya kwenda kusoma degree?? Waziri wangu hapa kwa mawazo yangu umechemka sana.

Umesema vizuri! Hata hao maprofessor mashuhuri na PhD holders wa vyuo vikuu vya serikali nawafahamu baadhi ambao hawakusoma form six.
 
Ndugu Hzo habr sio za kweli mbona mna aminiashiana Hbr za Uongo kbsa,,, wakati vigezo vpo,,,,alicho kifuta ni foundation course
Usibishe bila ya kufanya utafiti angalau kidogo. Mimi nimemsikia Mheshimiwa Waziri akizungumza katika mojawapo ya redio.
 
Usibishe bila ya kufanya utafiti angalau kidogo. Mimi nimemsikia Mheshimiwa Waziri akizungumza katika mojawapo ya redio.
Haha hah mkuu,,,,,, radio gani hyo,,,,!!!? Wakato hzo kauri zote kanukulwa kwanye ile Gradution ya Juz kati hapo Ya OUT,,,,,,
 
Alielewekwa vibaYa ndugu,,, wala Hajasema kitu hicho,,, pale alitolea mfano wa m2 ambaYe alifer form six alafu anataka kufanya Foundation course badala ya ku resete mtihani,,,, ko hicho kitu amekipiga marufuku ko Foundation course imefutwa,,, ther for m2 aliye fika mpaka form six halafu akafeli Either arudie mtihani ili apate quarification ya kuingia Chuo kikuu AU Atumie cheti chake cha form four kwenda diploma ili baadae ajiunge na shahada Ya kwanza atakapo Graduate Diploma Yake, Lkn pia kuna watu ambao Hawakupata nafasi Ya kwenda kidato cha tano ko hawa wamepitia certificate , baada Ya hapo watajiunga na diploma EventuallY wa ki graduate diploma Yao nao watakuwa na sifa Ya kujoin shahada Ya kwanza,,,, lkn ikumbukwe kwamba minimal GPA requirement ni 3.0 nw TBT ilikuwa 2.7 ikaongezwa mpaka 3.5,, lkn siku chache walipunguza tena mpaka hyo GPA ya 3.0 bila kutoa reson behind,,,,
Kwhyo ndugu Yangu ile kauri ilitafsiriwa vbaya kilicho pigwa marufuku ni FOUNDATION COURSE,
Ikiwa ni hivi sawa
 
Achen upotoshaji, wap kasema hkn diploma ksm degree? nmeangalia hyo video mnayotumia hkn k2 km hicho yy kasemea foundation kwa m2 alofel fm 6! ss km ht video mna mis quote mnataka mkasome vp degree?
 
Ni vyema hayo anayoagiza kwa mdomo akayaweka kwenye maandishi. Mpaka hivi sasa kuna mengi anayesema ila baada ya muda anarudi kule alikotokea. Nakumbuka suala la udahili wa wanafunzi lilivyosumbua mwaka huu ma mwishoni yakatolewa maagizo mengine. Haya yanatokea ni kwa vile aidha waziri hauelwi mfumo wa elimu Tanzania au kuna watu ana kisasi nao na hivyo kauli zake zinamlenga huyo mtu au kundi fulani la mahasimu.
Hili nalisema kwa sababu kila chuo kabla ya kuanza kutoa mafunzo kina utaratibu wa kudahili wanafunzi na utaratibu huo umethibitishwa na mamlaka za kiserikali ambazo ni NACTE na TCU. Ninashangaa kunapotokea mabadiliko yasiyokuwepo kwenye taratibu halali za elimu. Labda mwenzetu amepitiwa au amechanganyikiwa au haujui vema utaratibu wa udahili wa wanafunzi katika vyuo vyetu.
Leo kuna agizo la kuwaondoa watumishi wa serikali waliosoma vyuo vikuu kwa kupitia foundation courses kama Pre Entry/Remidial/Certificates, etc,wataondolewa kazini. Agizo hilo pia litawagusa watumishi waliojiunga na elimu ya juu kwa ufaulu linganishi (equivalent pass) ambapo kwa wale waliotoka diploma na wakasoma degree bila kufikisha GPA iliyowekwa na NACTE watatimuliwa. Pia waliotoka kidato cha sita na kupata nafasi vyuo vikuu moja kwa moja lakini hawakufikisha "cut off points" zilizowekwa na TCU wataondolewa katika ajira zao.
 
ukitaka kujua hyo dip in primary ilikua ya ovyo, m2 anasoma kwa kiswahl af degree anaenda kusoma kwa kingereza! mfn dip ulisoma kitu kinaitwa yabis degree unakuta kinaitwa solid; hapo wap mtaelewana?
 
Ni vyema hayo anayoagiza kwa mdomo akayaweka kwenye maandishi. Mpaka hivi sasa kuna mengi anayesema ila baada ya muda anarudi kule alikotokea. Nakumbuka suala la udahili wa wanafunzi lilivyosumbua mwaka huu ma mwishoni yakatolewa maagizo mengine. Haya yanatokea ni kwa vile aidha waziri hauelwi mfumo wa elimu Tanzania au kuna watu ana kisasi nao na hivyo kauli zake zinamlenga huyo mtu au kundi fulani la mahasimu.
Hili nalisema kwa sababu kila chuo kabla ya kuanza kutoa mafunzo kina utaratibu wa kudahili wanafunzi na utaratibu huo umethibitishwa na mamlaka za kiserikali ambazo ni NACTE na TCU. Ninashangaa kunapotokea mabadiliko yasiyokuwepo kwenye taratibu halali za elimu. Labda mwenzetu amepitiwa au amechanganyikiwa au haujui vema utaratibu wa udahili wa wanafunzi katika vyuo vyetu.
Leo kuna agizo la kuwaondoa watumishi wa serikali waliosoma vyuo vikuu kwa kupitia foundation courses kama Pre Entry/Remidial/Certificates, etc,wataondolewa kazini. Agizo hilo pia litawagusa watumishi waliojiunga na elimu ya juu kwa ufaulu linganishi (equivalent pass) ambapo kwa wale waliotoka diploma na wakasoma degree bila kufikisha GPA iliyowekwa na NACTE watatimuliwa. Pia waliotoka kidato cha sita na kupata nafasi vyuo vikuu moja kwa moja lakini hawakufikisha "cut off points" zilizowekwa na TCU wataondolewa katika ajira zao.
Mmmmmh mkuuu,,,,,,
 
Leo nilikuwa nasikiliza amka na BBC kumbe hata Rais mstaafu ametoa ushauri kuwepo na mjadala wa wadau mbali mbali ktk maswala mazima ya Elimu na mabdiliko. Nadhani yupo sahihi

Hili ni suala la mda mrefu sana,tunaitaji mjadala kuhusu elimu yetu . Sio kila waziri anakuja na mawazo yake
 
Mmmmmh mkuuu,,,,,,
Yy lazima aanzie alipoanzia,,,,, Coz waliopita Huwezi ukawaondoa kwa sababu mfumo wa Elimu uliwa ruhusu,,,,!! Ndo maana Alipoingia madarakai kwa kuwa wazir wa Elimu mwnYe dhamana alipandisha admsion requirement kwa Kujoin shahada Ya kwanza ikumbukwe Hih HAIKUWA ATHILI wale walio kuwa Continour Et kwa sababu waliingia na Cut' Off points ndogo basi warud nYumban,,,,,, Rahasha Na ndo maana Ukusikia chochote Kuhusu Continour,,,,, Ila kwa wale Tu waliokuwa wana join ka mara Ya kwanza,,,,,,!!!?
Ther for,,,,Kwa wale wote amba wamepitia mfumo ambao mama Ndalichako anaupiga marufuku nw,,, na pengine wapo maofisin nw,,, Haita wa athiri....
 
Nimesikia,kwa walio,maliza,form,six alafu wakarudi diploma wanaweza kudahiliwa kwenda bachelor na hilo swala limekaaje ndugu zangu?
Kufika chuo kikuu hata kama umemaliza form six mpaka uwe na principle passes 2 kama hauna izo principal hapo ni ishu nyingine
 
Elimu ya mwendokasi wazee acheni afanye anachojskia ila the time WL teli wasizani c wakuendeshwa HVO inauma sana
 
Back
Top Bottom