Recent content by da irritant boy

  1. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Maisha hayabadiliki kwa maombi pekee — Yanahitaji mfumo

    Stationery + Vifaa vya simu na pc
  2. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Maisha hayabadiliki kwa maombi pekee — Yanahitaji mfumo

    A lot of people plan but dont execute, My life shifted since i started 1.kuamka asubuhisaa 10 na dk 45 2. kumeditate 3.kufanya mazoezi 4. kula vizur(no soda, no chips na junks) 5.Kunywa maji 6. kuvaa vizuri 7.kufungua ofisi saa 12 na nusu 8. Kufanya usafi na kupanga ofisi 9. kusoma 8 pages ya...
  3. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Dini haiwezi kukufanya kuwa mcha Mungu. Dini ni gereza hatari sana

    Slowly,,, people are waking up
  4. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Hizi ndoto zitakuwa na maana gani?

    Haya maelezo yamenyooka sana
  5. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Hizi ndoto zitakuwa na maana gani?

    Aisee pole sana mkuu, Ndoto ya kuota unarud shuleni ama unafanya mtihan na haumalizi au unakuwa stressed au unakutana na watu wa nyuma sio nzuri, Hongera kwa kuwa na mind inayokukumbusha kuwa maisha yako hayako sawa Kuota unadumbukia shimoni watu wanakutoa au haufiki chini ni Mind yako...
  6. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Akamatwa na pikipiki 32 za wizi

    Duh aisee hawa wanarudisha watu nyuma sana
  7. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania REF: Application for Physics and Chemistry teaching position at your school

    Well written if not sampled from other templates[emoji122][emoji122][emoji122]
  8. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia kwa kutembelea nchi 22 kwa awamu 25 kwa muda mfupi ndio sababu ya kuimarika huku kwa Uchumi wa Tanzania

    Ila lile swala la kusaini mikataba zaidi ya 10 kwa siku lina walakini, Ni kweli imesomwa kwa kina kwa muda stahiki?? au ni kumwaga wino tuu bila kujua baadae kitatukuta nini
  9. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Ni week sipo sawa baada ya mpenzi wangu kuyaona makalio yangu

    Wanaofanya elimu ionekane haina maana ni watanzania wa kariba ya mtoa mada
  10. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu asema "Punguzeni dhambi mvua zinyeshe"

    [emoji23]Kwani wazinzi wanasikiaga kizembe namna hii
  11. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Nafasi ipi ni ngumu kuicheza katika soka?

    Yani point kubwa ni kwamba inategemea na mfumo wa mwalimu, Ila sita ni position ya muhimu sana ambao wanakuwaga hawaonekani sana ukubwa wa kazi zao ila ndio muhimili wa timu
  12. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Nafasi ipi ni ngumu kuicheza katika soka?

    Namba 6 ni namba ngumu kama timu inatumia kiungo mkabaji mmoja, kwa sababu inatakiwa ushuke kwa namba 5 na 4 wakat wa kukaba kisha uchukue mipira wakat wa kutengeneza mashambulizi kisha umuangalie namba nane kumi au mawinga, Yani unakuwa kama punda timu ikiyumba tuu duarani lawama kwako Namba...
  13. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Msaada wataalamu wa humu

    Haya madude yametapakaaa mitaani kibao mikoa mingi watu wanapigwa za uso na hamna kitu watafanya [emoji23][emoji23]
  14. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Domant phone numbers wanazogawiwa wateja wapya

    Namba yangu mpya ya airtel zinaingia mesej za bili za maji na wamama wanapiga kuulizia ratiba za jumuia vikundi na mikopo,,,,,, Nimeifunga nimeachana nayo Ningejua bora ningetumia mbinu ya mshana Jr nawaambia karibu Mochwari tukuhudumie
  15. da irritant boy

    JamiiForums Tanzania Jihadhari: Utapeli mpya kwenye ununuaji wa ardhi

    Mkuu na ule utapeli wa kuuziwa kiwanja afu wanakuroga unasahau kila kitu kuhusiana na kiwanja chako, siku ukikumbuka unasema ntafuatilia kesho siku ukisema uende eneo ulilouziwa hukumbuki hata njia ya kuingilia hadi namba za dalali unasahau ulisave vipi[emoji24]
Back
Top Bottom