Ben Zen Tarot JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,392 Reaction score 7,873 Oct 28, 2022 #1 Naomba msaada wa ili bonanza anae lijulia maana kila nikijalibu napigwa za kichwa kama kuna mtaalamu tulijegeje msaada.
Naomba msaada wa ili bonanza anae lijulia maana kila nikijalibu napigwa za kichwa kama kuna mtaalamu tulijegeje msaada.
project planner JF-Expert Member Joined Jul 8, 2019 Posts 1,170 Reaction score 1,562 Oct 31, 2022 #2 Msaada Ni kuachana nalo tu la sivyo litakufilisi au utalibomoa ufungwe
da irritant boy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2013 Posts 407 Reaction score 455 Oct 31, 2022 #3 Haya madude yametapakaaa mitaani kibao mikoa mingi watu wanapigwa za uso na hamna kitu watafanya [emoji23][emoji23]
Haya madude yametapakaaa mitaani kibao mikoa mingi watu wanapigwa za uso na hamna kitu watafanya [emoji23][emoji23]